Africans brought Europeans out of prehistory | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Africans brought Europeans out of prehistory

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Rubabi, Nov 17, 2007.

 1. R

  Rubabi Senior Member

  #1
  Nov 17, 2007
  Joined: Nov 30, 2006
  Messages: 174
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Acient egyptians and Nubians were building massive temples(karnak temple in egypt is the biggest temple in the world unmatched anwhere in the world even to this day and it was bult 3500 years ago) at this time,europeans were still living in caves.

  Around 3500 bc egyptians and nubians were literate,already writing mathematical,philosophical and medical treaties( check out the rynd and Moscow papyrus).Around this time,the first fully civilized 'europeans' mainly greeks, did not even exist! Greeks writing(which is derived from egyptian)only started in greek around 500BC!

  All greek philosophers and scientists (Aristotle, pythogoras, plato, say they learnt their sciences from black africans (read their works).

  Jamani tusome historia zetu na tusianzie kwenye slave trade!Africa inahistoria(ilioandikwa) ya muda mrefu kuliko bara lolote lile duniani.Ubaya sisi ni wavivu wa kusoma!

  How the mighty have fallen!!
   
 2. M

  Mwakilishi JF-Expert Member

  #2
  Nov 18, 2007
  Joined: Jan 31, 2007
  Messages: 484
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Very interesting!

  Mimi swali langu ni moja tu, imekuwaje tupo hapa tulipo leo ikiwa enzi hizo tulikuwa "tunatisha"?

  Isije kuwa tunajiliwaza tu maana uongo mbaya tulivyopigika na tunavyoendelea kupigika inakuwa vigumu kukubali kwamba sisi ndio tumeiamsha dunia, au ndio imetimia ile methali isemayo "alalaye usimwamshe, ukimwamsha utalala wewe" nini?
   
 3. N

  Ngao Member

  #3
  Nov 18, 2007
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Subirini miaka 3500 ijayo halafu mtaona wazungu watakavyoluwa wakijiuliza ni ni kilichowatokea kama sisi tunavyojiuliza sisi sasa hivi!!!!!!! Sitanii, we suburu wakati huo! Tutakuwepo na wataipata!
   
 4. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #4
  Nov 18, 2007
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  wewe unawaambia watanzania wasome historia wakati hawana hata hobi ya kununua vitabu.
  jitahidi kupost mambo ya kihstroia hapa kama mwanzo kisha wadau wataanza kubadilika na kununua vitabu
  great
   
 5. T

  The Truth JF-Expert Member

  #5
  Dec 2, 2007
  Joined: Oct 21, 2007
  Messages: 618
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unfortunately Egyptians were not Black African so you can't take the credit for the accomplishments.
   
Loading...