African Union fails to solve African problems

Feb 13, 2013
46
27
I wonder African Union delays and unable to solve many african problems within Africa until other Europeans and US to intervene African affairs

1. Libya crisis -until Russia, Turkey and other Europeans
2. Ethopia - Egypt crisis on Dams constructions - until US
 
It is only when we African learn to be true to ourselves and our organization, only then, we 'd empower AU to effectively carryout what has been evisaged!
 
AU inatakiwa ivunjwe haina msaada wowote nawa AFRIKA yaani kama mtategemea yakitokea matatizo makubwa kweli kama hilo bwawa hapo wanalozozania wahabesh na watoto wafarao limalizwe na AU mnakosea sana

AU kwanza sio taasisi huru pili UNAFIQ umewatawala pia hawajitambui wanasimamia nini

Naukweli mchungu nikwamba majamaa wanasimamia maslahi yamataifa fulani makubwa wala tusijidanganye jamaa wanajali saaana kuhusu AFRIKA

Ikitokea mizozo kweli kweli lazma tuwafate hao tunaowaita mabeberu wakichina nawakizungu watutatulie

Inasikitisha mnoooooo.
 
kabla hujajidharau sana kumbuka hata nchi za kiarabu zinatembelewa sana na U.S.A.

waite na waarabu failures basi sio unajiita wewe tu.
 
Useless AU ,toothless AU, better we shut it of and rely on Regional Organisations,ECOWAS, SADC are most powerfull than the stupid AU....failed to endorse Madagascar's covid medicine,failed to donate any aid to the falling members such asLibya,Somalia,etc during covid pandemic...useless AU!!
 
kabla hujajidharau sana kumbuka hata nchi za kiarabu zinatembelewa sana na U.S.A.

waite na waarabu failures basi sio unajiita wewe tu.
Nchi nyingi za kiarabu ni failed states mkuu,Saudi Arabia ni Ngombe wa maziwa wa US,...
 
Nchi nyingi za kiarabu ni failed states mkuu,Saudi Arabia ni Ngombe wa maziwa wa US,...
ina maana Africa hakuna failed states? kubali tu mkuu unajidharau.

Screenshot_20200621-141603_Samsung Internet.jpg
 
Kila anaelia anashika kichwa yake MKUU.....
haizuii kuona na wengine wakijishika kichwa kama wewe. hapo ndo utajua haupo peke yako. ni sawa na Mmarekani kuona Corona inamfatilia sana wakati kitu kinasumbua globally.
 
Back
Top Bottom