African Sports: Simba SC has signed pre-contract with Ajibu and Yakubu(Azam FC)

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,072
103,284
Screenshot_2019-03-28-10-28-50~2.png

Nafanya kuwanyunyizia vurugu za Simba kutoka vyombo vya habari vya kimataifa ikiwemo international reputedly social media.

Yakubu ni beki wa Azamu FC anaye maliza mkataba wake. Rais wa Ghana.

Ushauri
Simba tuko na hela na mingi( Bi Hindu anasema tunaweza kununua Yanga yote pamoja na bakuli lao) ila tuache papara kama tunataka kuwa mabingwa watarajiwa wa Afrika.
 
Mkuu. Taharifa zako nyingi nizakweli. Juzi ulikuja na tetesi za tuisenge, naleo tumepata habari kwamba amesha saini simba.

kwa habari ya ajibu na yakubu. Ni hari njema hasa kwa yakubu kusaidiana na paschal wawa na erasto nyoni pale nyuma.

wawa ni beki mzuri sana ila anakosa mtu wa kaliba yake. Ulisema wawa aondoke lakini wawa ni kiraka mzuri sana.
 
Huo usajili nadhani hauja focus kushindana kimataifa. Ajibu hafiti hataka kidogo kwa simba ya sasa ivi ilivyo. (hawezi mpira wa kasi) binafsi sijaafiki Ajibu kurudi hapo kikosini. Ilipaswa kufocus kushindana kimataifa zaidi kwakuwa naamini mwakani tena simba inaweza shiriki mashindano ya club bingwa, hivyo ni wakati sasa wa kusajili wachezaji wenye viwango vya ushindani wa kimataifa kulingana na bajeti.
 
Huyo Yakub Mohammed Ni fundi asee hana papara...
Kuhusu Ajib sina shaka naye atatusaidia Ni mchezaji mwenye assist nyingi TPL siyo wakubeza japo anatatizo la kupanda na kushuka kiwango...Ila Ni nani aliyejua kama Niyonzima angeibeba timu kwenye mechi muhimu dhidi ya As Vita.Tusiwabeze mafundi kuna gemu wanaziamua wao bila kutegemea.
 
View attachment 1055892

Nafanya kuwanyunyizia vurugu za Simba kutoka vyombo vya habari vya kimataifa ikiwemo international reputedly social media.

Yakubu ni beki wa Azamu FC anaye maliza mkataba wake. Rais wa Ghana.

Ushauri
Simba tuko na hela na mingi( Bi Hindu anasema tunaweza kununua Yanga yote pamoja na bakuli lao) ila tuache papara kama tunataka kuwa mabingwa watarajiwa wa Afrika.
Manji ndio alisema hadharani ana uwezo wa kuinunua Mikia yote Na majengo yao..Bi Hindu yuko menapouse sio wa kumtilia maanani..aseme Mo mibillionaire ya Yanga imchallange...hivi pale kilabuni kwenu mna makochi ya leather maana Jana waziri kaenda Jangwani...
 
Mkuu ungengoja maumiv yapungue ndo uandike, ona ulivyoandika vitu havielewek sasa
Manji ndio alisema hadharani ana uwezo wa kuinunua Mikia yote Na majengo yao..Bi Hindu yuko menapouse sio wa kumtilia maanani..aseme Mo mibillionaire ya Yanga imchallange...hivi pale kilabuni kwenu mna makochi ya leather maana Jana waziri kaenda Jangwani...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo usajili nadhani hauja focus kushindana kimataifa. Ajibu hafiti hataka kidogo kwa simba ya sasa ivi ilivyo. (hawezi mpira wa kasi) binafsi sijaafiki Ajibu kurudi hapo kikosini. Ilipaswa kufocus kushindana kimataifa zaidi kwakuwa naamini mwakani tena simba inaweza shiriki mashindano ya club bingwa, hivyo ni wakati sasa wa kusajili wachezaji wenye viwango vya ushindani wa kimataifa kulingana na bajeti.
Sasa wewe kwa wachezaji wa ndani ungemsajili nani kama kiungo mshambuliaji tofauti na Ajibu? Kumbka wa nje wanatakiwa 8 tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 1055892

Nafanya kuwanyunyizia vurugu za Simba kutoka vyombo vya habari vya kimataifa ikiwemo international reputedly social media.

Yakubu ni beki wa Azamu FC anaye maliza mkataba wake. Rais wa Ghana.

Ushauri
Simba tuko na hela na mingi( Bi Hindu anasema tunaweza kununua Yanga yote pamoja na bakuli lao) ila tuache papara kama tunataka kuwa mabingwa watarajiwa wa Afrika.
The same source ndiyo ilisema habari ya Simba kunyunyiza dawa kwenye vyumba vya timu ya AS Vita. It seems it is such a reputable source. We should take them seriously.
 
Manji ndio alisema hadharani ana uwezo wa kuinunua Mikia yote Na majengo yao..Bi Hindu yuko menapouse sio wa kumtilia maanani..aseme Mo mibillionaire ya Yanga imchallange...hivi pale kilabuni kwenu mna makochi ya leather maana Jana waziri kaenda Jangwani...
Waziri gani? Rostam naye ni Yanga fan
 
Huo usajili nadhani hauja focus kushindana kimataifa. Ajibu hafiti hataka kidogo kwa simba ya sasa ivi ilivyo. (hawezi mpira wa kasi) binafsi sijaafiki Ajibu kurudi hapo kikosini. Ilipaswa kufocus kushindana kimataifa zaidi kwakuwa naamini mwakani tena simba inaweza shiriki mashindano ya club bingwa, hivyo ni wakati sasa wa kusajili wachezaji wenye viwango vya ushindani wa kimataifa kulingana na bajeti.
Kwanza Ajibu hana uwezo wa kumuweka benchi mchezaji yoyote pale simba wanaocheza position yake.

Kama chini ya Omog alikuwa anakalishwa bench na Mo na Kichuya chini ya Chama na Rashid Juma ataweza ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom