African Satellite World and Sat Gear

The world of sat is so interesting. After watching/hearing from a friend, You get inspired by program X to visit a particular Bird but program Y makes you stay.
H2 Documentaries give me a reason to stay @91.5
IMG_20190625_211113.jpg
IMG_20190625_211111.jpg
 
I don't know sir but why there was a lot of europe 1 channels and National Geographic Polska,Nasa Channels, channels,living fine and Qatar Tv are all those show po*n?

Rakims
Mkuu Rakim heshima yako, nina dish langu la dstv nataka kuingia ulimwengu wa FTA, naomba ushauri wa aina ipi ya receiver ni bora, pia naomba kufahamishwa tofauti ya dvb s2 na dvb t2 nimekua nikiona kwenye receiver tofauti
 
Habari mkuu, hapo kwa ushauri wangu wewe ungechukua Hellobox v5 plus tu japo kuwa haina irdeto wala nagravision na code zingine chukua hiyo hata ukikwama sehemu kuna mkuu BENNICK atakusaidia vile yeye anayopia lakini nyingine kwa freesat ni V5s au v8 zipo vizuri v9 super niliyonayo ina feature nyingi sana lakini hadi uwe mjuzi wa mitandao kidogo ndio utaenjoy wengine wanasema zuri ni Gsky v8 nayo nilifikiri kununua japo kuna vitu ilizidiwa na v9 super. v9 Super ni nzuri japo itakutaka subira kupata updates zao za software. pia uliza na wakuu wengine hapo kuhusu FTA receiver iliyo nzuri kwa mtizamo wake hutu tudubuwasha vyote kazi yake ni moja vinazidiana features tu

Kuhusu dvb t2
soma hapa utaelewa zaidi

Mkuu Rakim nimejaribu hellobox v5, nimepata je ndio hii?
-31514673-1669139440.jpeg
 
Habari mkuu, hapo kwa ushauri wangu wewe ungechukua Hellobox v5 plus tu japo kuwa haina irdeto wala nagravision na code zingine chukua hiyo hata ukikwama sehemu kuna mkuu BENNICK atakusaidia vile yeye anayopia lakini nyingine kwa freesat ni V5s au v8 zipo vizuri v9 super niliyonayo ina feature nyingi sana lakini hadi uwe mjuzi wa mitandao kidogo ndio utaenjoy wengine wanasema zuri ni Gsky v8 nayo nilifikiri kununua japo kuna vitu ilizidiwa na v9 super. v9 Super ni nzuri japo itakutaka subira kupata updates zao za software. pia uliza na wakuu wengine hapo kuhusu FTA receiver iliyo nzuri kwa mtizamo wake hutu tudubuwasha vyote kazi yake ni moja vinazidiana features tu

Kuhusu dvb t2
soma hapa utaelewa zaidi

Rakims
sorry hapo nilimaanisha v7s
 
84 Reactions
Reply
Back
Top Bottom