Yaosen
Senior Member
- Dec 6, 2017
- 167
- 25
Hapa kuna shida mahali maybe try another LNB23% haizidi
Hapa kuna shida mahali maybe try another LNB23% haizidi
Hamna unamaanisha hazionyeshi?? Ikiwa hazionyeshi, hizo zengine pia hazitoonyesha...Hapana hamna HBO wala Cnn hapo
Number 22 HBO na number 24 CNNCartoon india English
Cartoon india telegu
Cartoon india tamil
Cartoon india
Os Download
Zote hizo kuanzia 20 hapo hadi 30 ni 3975 H 19499View attachment 1122518
Yaani hazijapatikana kwenye list hapoHamna unamaanisha hazionyeshi?? Ikiwa hazionyeshi, hizo zengine pia hazitoonyesha...
Tizama inbox
Zipo scrambledNumber 22 HBO na number 24 CNN
No zipo scrambled signal ikikamilika ndio zinafunguka kwangu channels za kulipiaYaani hazijapatikana kwenye list hapo
Zinaonekana mbona kwenye list bob, inaonekana ulizipata kwa mara ya kwanza labda kama zimepotea kwa sasa. Na hizo zinatakiwa zionyeshe kwa kisimbuzi ulichonacho.Yaani hazijapatikana kwenye list hapo
Zipo kwenye list,Zinaonekana mbona kwenye list bob, inaonekana ulizipata kwa mara ya kwanza labda kama zimepotea kwa sasa. Na hizo zinatakiwa zionyeshe kwa kisimbuzi ulichonacho.
Basi hiyo HB0 au ¢nn unatakiwa ukiichagua ikupe picha kama hivi pia uitumie hiyo hiyo kuset dish vizuri, signal quality yake ikivuka 50 channel nyingine zitakujaZipo kwenye list,
Naomba powervu keys zake mkuu nijaribuBasi hiyo HB0 au ¢nn unatakiwa ukiichagua ikupe picha kama hivi pia uitumie hiyo hiyo kuset dish vizuri, signal quality yake ikivuka 50 channel nyingine zitakuja
View attachment 1122608
Mkuu hii nilesat inataka dish size gani?Buy starsat 2000 HD extreme and catch nilesat7 connect Wi-Fi
Najaribu kukuchek inbox bila mafanikio. Nitumie text inbox. Hatushauriwi kupost keys hapa jukwaani
NimekutextNajaribu kukuchek inbox bila mafanikio. Nitumie text inbox. Hatushauriwi kupost keys hapa jukwaani
Hata MIMI Nisaidie hizo keyNajaribu kukuchek inbox bila mafanikio. Nitumie text inbox. Hatushauriwi kupost keys hapa jukwaani
Hata MIMI Nisaidie hizo key
Chukua kisahani au kifuniko cha sufuria kidogo ufunike Hilo tundu au kishimo Kati Kati ya dish.23% haizidi