African Satellite World and Sat Gear

msaada tafadhali
receiver yangu ya continental inaleta channel za free to air karibia 44 lakini ziko scrambed. nifanyeje?
tatizo hili limeanza kama siku 7 hivi ila mwanzoni zilikuwa ziinaonesha vizuri.

Labda hujalipia huduma hiyo....
 
What a day did i have !!!!

i managed to squeeze Diva on a 76.5 (Secondary) and 68(primary) setup

i used the Freesat V7 as the signal finder

but when i switched to my main decoder starsat sr 2000 extreme it was scratching like hell ...very dissapointed



wish it was possible to get 3880...


How was your day fellow asas members.
Very possible on a good 8ft and clear East.
 
Horn spot bado ipo kweli
iko but yule jamaa mwenye kuoperate remote naona kuna siku kamuguka ilikatika akaiendea kama siku mbili so ikawa unavailable:D.with the football season winding down naona nikihama nirudi 52.5e ama 7w.but am hooked on van helsing so niko na dilemma hapo.na hii kitu sijui kama inaoperate from wartorn somali au stable somaliland
 
Pictures please
There you go....
IMG_20190516_173307.jpeg
IMG_20190516_173237.jpeg
IMG_20190516_173224.jpeg
 
Back
Top Bottom