African Satellite World and Sat Gear

Hahaha!Taarifa ya habari ndungu yangu!
Nahabarika kidogo.
But honestly I have no problem watching them!
You guys Enjoy them over there in Tanzania. Here in Kenya we avoid them like a plague especially because of the red eyed pictured-guy's propaganda they keep churning and primitive content.
 
Jeshi reportedly gone on many boxes
In these ends we are still at its tail.
IMG_20181121_153039_929.jpeg
 
i dont know what it means hio 21/22
Ile jambo inaitwaga mbawavu! Ati inaendaga na ile kitu inaitwa algorithm, hizo jambo ndio zinatumika kusecure contents! Sasa kama ulikuwa na algorithm chini ya 21/22, mchina hata akijaribu kuatack ili ajue password hawezi. Ila akiwa na algorithm sawa na huyo mujamaa, ndio aki attack anaweza decrypt hiyo password zao!
Sasa hizi makampuni kama Zony pale 68.5 zilitoka 19/20 ziko 21/22. Ndio hiyo update inamfuata huko huko kwa 21/22.
 
Back
Top Bottom