African queen

babukijana

JF-Expert Member
Jul 21, 2009
12,895
15,641
oiopka434194-02.jpg
 
Dah! Sio mchunguzi kiivyo, ila macho yake yamezama sana. Pia dental formula imemharibia lips. Vingine vilivyobakia ni perfect!
 
Siyo lazima awe kutoka kwa Kagame yaani Mnyarwanda.

Ila ni LAZIMA atakuwa MTUSI. Kama siyo mtusi basi ni haya Makabila yanayojiita tofauti ila ni wale wale Watusi, kama Wahima (Bahima). Pua zao utazijua tu na ndiyo maana Werrason anasemwa kuwa ni MTUSI.
 
Hivi wale walioko ahela wenye macho makubwa kama vikombe vya kahawa wanafanana na huyu?
Kama ndo hivyo haukufai huko? Bora nikae hapa hapa 'Guniani' nakula bata wa kienyeji!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom