African leadership forum

ROBERT MICHAEL

JF-Expert Member
Oct 23, 2012
4,976
2,000
Naona kituo cha Capital tv inaonesha forum hii live. Wageni waalikwa ni marais wastaafu nao ni Festus Mogae wa Botswana,Thabo Mbeki wa Afrika kusini,Benjamin Mkapa wa Tanzania,Olesegun Obasanjo wa Nigeria.

Wanaongelea masuala ya uongozi Afrika na kujikwamua hapa tulipo (Meeting the challenges of Africa's transformation)

Coordinator:Uongozi institute

Venue:Serena
 
K-Boko

JF-Expert Member
Aug 3, 2013
697
195

Obasanjo ameponda uongozi wa sasa nchini mwake kwa kushindwa kushughulikia kikamilifu tofauti za kiuchumi kati ya Nigeria Kaskazini/mashariki na Nigeria Kusini/Magharibi ambalo alisema ndio chimbuko hasa la vikundi kama Boko Haram na akasema vita dhidi ya Boko Haram havitafanikiwa bila kushughulikia kikamilifu tofauti hiyo ya kiuchumi ya wananchi wa nchi hiyo hiyo moja! Nigeria ya kaskazini/mashairiki ni dhofli hali kiuchumi kulinganisha na ile ya Kusini/magharibi!! Obasanjo anasema amekuwa akiushauri uongozi huo kwa muda mrefu lakini hawamsikilizi na sasa amejichokea kabisa!!!
 
Ila Obasanjo anatoa makavu live na namuona balozi Maige naye kaongea kuhusu diversity vizuri sana.
 
ROBERT MICHAEL

JF-Expert Member
Oct 23, 2012
4,976
2,000
Zitto amesema Msumbiji itachafuka kama South Sudan kwa uroho wa viongozi kwenye rasilimali za nchi.
 
ROBERT MICHAEL

JF-Expert Member
Oct 23, 2012
4,976
2,000
Naona mzee Maige anatoa chanzo cha Somalia kuwa na mgogoro wao huo na kamtaja Said Barre ndo chanzo cha matatizo kwa kuwapa kipaumbele ukoo wake.
 
Ndahani

Platinum Member
Jun 3, 2008
17,742
2,000
Obasanjo ameponda uongozi wa sasa nchini mwake kwa kushindwa kushughulikia kikamilifu tofauti za kiuchumi kati ya Nigeria Kaskazini/mashariki na Nigeria Kusini/Magharibi ambalo alisema ndio chimbuko hasa la vikundi kama Boko Haram na akasema vita dhidi ya Boko Haram havitafanikiwa bila kushughulikia kikamilifu tofauti hiyo ya kiuchumi ya wananchi wa nchi hiyo hiyo moja! Nigeria ya kaskazini/mashairiki ni dhofli hali kiuchumi kulinganisha na ile ya Kusini/magharibi!! Obasanjo anasema amekuwa akiushauri uongozi huo kwa muda mrefu lakini hawamsikilizi na sasa amejichokea kabisa!!!

Obasanjo ndio alimleta Badluck Jonathan kutoka alikotoka. He knew the guy was weak and could be easily manipulated. Leo mambo yamekuwa ngangari anaanza porojo...I like Ben Mkapa and Mzee Mwinyi. At least they talk when it is necessary.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom