African Cup of Nations 2008

Kana-Ka-Nsungu

JF-Expert Member
Oct 4, 2007
2,257
353
The 26th African Cup of Nations 2008

Basi kama wengi tunavyojua ni kwamba kimbembe cha wababe wa soka barani Africa kitaanza kutimua vumbi kuanzia January 20 hadi February 10 mwaka huu.Nina furaha kubwa sana kuanzisha thread hii ili tuweze kujadili yale yatakayojiri ikiwa ni pamoja na matokeo pamoja na matukio. Akhsanteni na karibuni.

GROUPS

Group A
Ghana, Namibia, Guinea, Morocco

Group B
Nigeria, Benin, Mali, Ivory Coast

Group C
Egypt, Sudan, Zambia, Cameroon

Group D
Tunisia, Angola, South Africa, Senegal

Fixtures

GROUP A (Venue- Accra)

20/01/08
Ghana v Guinea

21/01/08
Namibia v Morocco

24/01/08
Guinea v Morocco

24/01/08
Ghana v Namibia

28/01/08
Ghana v Morocco

28/01/08
Guinea v Namibia

GROUP B (Venue -Sekondi)

21/01/08
Nigeria v Ivory Coast

21/01/08
Mali v Benin

25/01/08
Ivory Coast v Benin

25/01/08
Nigeria v Mali

29/01/08
Nigeria v Benin

29/01/08
Ivory Coast v Mali

GROUP C (Venue- Kumasi)

22/01/08
Egypt v Cameroon

22/01/08
Sudan v Zambia

26/01/08
Cameroon v Zambia

26/01/08
Egypt v Sudan

30/01/08
Egypt v Zambia

30/01/08
Cameroon v Sudan

GROUP D (Venue- Tamale)

23/01/08
Tunisia v Senegal

23/01/08
South Africa v Angola

27/01/08
Senegal v Angola

27/01/08
Tunisia v South Africa

31/01/08
Tunisia v Angola

31/01/08
Senegal v South Africa

ROBO FAINALI

03/02/08 1. Group A winners v Group B runners-up, Accra
03/02/08 2. Group B winners v Group A runners-up, Sekondi
04/02/08 3. Group C winners v Group D runners-up, Kumasi
04/02/08 4. Group D winners v Group C runners-up, Tamale

NUSU FAINALI

07/02/08 Winner quarter-final 1 v Winner quarter-final 4 Venue- Accra

07/02/08 Winner quarter-final 2 v Winner quarter-final 3 Venue- Kumasi

MSHINDI WA TATU

09/02/08 Venue- Accra

FAINALI
10/02/08 Venue- Accra
 
Hii safi sana. Afu michuano hii itakuwa mikali sana sababu makundi yote yamesheheni upinzani wa kutosha.

Ukiangalia kwa karibu ni ngumu sana kuita kundi moja ni la Kifo na kuyaona mengine kama ni too light. Kila kundi limejaa jazba.

Tunasubiri tuone Snegal anavyoshika mkia kwenye kundi lake na Nigeria kutolewa hatua za awali.

Tusishangae kwa timu kama Angola au Sudan kuchukua Kombe.
 
AFRICA CUP OF NATIONS 2008
16 teams
32 fixtures
22 days
4 host cities - Accra, Kamasi, Tamale, Sekondi-Takoradi

For those in the UK there will be live coverage of all games on BBCi, BBC Two and Three
BBC World Service broadcasting opening game and quarter-finals onwards.
 
jamani kuna mtu hapa ana website inayoonyesha hii michuano huku kwetu maporini hakuna kitu tunapata zaidi ya kusikiliza sauti za tumbili
 
Uhondo unaanza leo jioni,tunahesabu masaa tu,kwa walioko UK mambo iko hapa....

Africa Cup of Nations,
Group A
Date: Sunday, 20 January
Kick-off: 1700 GMT
Venue: Ohene Djan Stadium, Accra
BBC Coverage: BBC Sport website, live on BBC - via red button - & highlights on BBC3 at 1900 BST
 
Kuna live coverage pia kwenye Eurosports,sasa hivi wanaonyesha opening ceremony. Im not sure kama hii channel inaonekana all over europe kama jina lake linavyo suggest.
 
Eh bwana lile sakata la leo ni kali sana! nimependa bao, alilopiga Muntari wa Ghana, yule kijana hatari sana, lakini FIFA wanahitaji extra assitants ili kuwe na uamuzi wa haki kuhusu penalty. sababu huu ni ulimwengu wa technolojia. uamuzi wa refa unaweza kuhatarisha maisha ya watu, kutokana na camera kiasi gani zinaweza kuprove wrong the refferee decision kama haya mambo tuliyoyaona leo, Ghana walideserve kushinda lakini penalty ilikuwa sio haki.
 
Pakubaku,

Human touch! hatuhitaji mashine kutuamilia soka- sisi ni wanadamu, na makosa ya refa ni sehemu ya mchezo na ni makosa ya kibinadamu.. na sehemu ya burudani yenyewe!

Pia Guinea walipata penalty refa akapeta!
 
kweli kabisa ndio sports
 
Eh bwana lile sakata la leo ni kali sana! nimependa bao, alilopiga Muntari wa Ghana, yule kijana hatari sana, lakini FIFA wanahitaji extra assitants ili kuwe na uamuzi wa haki kuhusu penalty. sababu huu ni ulimwengu wa technolojia. uamuzi wa refa unaweza kuhatarisha maisha ya watu, kutokana na camera kiasi gani zinaweza kuprove wrong the refferee decision kama haya mambo tuliyoyaona leo, Ghana walideserve kushinda lakini penalty ilikuwa sio haki.

Nakubaliana nawe Paku- it was never a penalty! lakini pia its part of the game na moja ya mambo mengi yanayotufanya tuupende mpira. Na kwa kukumbusha tu, mashindano haya yanaandaliwa na CAF na siyo FIFA.
Kesho huenda ndio tukaona the biggest fixture of this tournament- IVORY COAST vs NIGERIA.
 
ebwana mie naona ka mwaka huu hili kombe labaki hapo hapo ghana kwa vile tuu Tanzania hatukupita otherwsie mabingwa tungekua sie
 
Hivi TVT inaonyesha hizi mechi? kama sio je ni TV gani Tanzania inaonyesha? kwa walio nje labda twaweza kupata kwenye jumptv
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom