sikuwa mbali na matokeo... wacha niendeleee kufakamia bia za Wakameruni..Misri watashinda ubingwa...I bet on Misri
Misri soka lao la uhakika!
1. Mimi nawapongeza! Eti kwa kuwa hawatumii kilevi ndo huwa na hiyo stamina?
2. Kuna thesis ingine eti Wachezaji Weusi wanacheza Ulaya - na wanaogopa kuumia na hivyo hawajitumi na kujitoa kama walivyo Wamisri! Wachezaji wote Misri wanacheza soka hapo hapo home Misri!
3. Kuna siri gani kwa hawa Misri?

Huenda baadhi ya sababu hizi zikawa na ukweli fulani, hasa hiyo namba mbili, kwani lisemwalo lipo. Misri wanakwenda pombe kama kawa, hawa ni tofauti na wale waarabu wa Mashariki ya kati.
Song atajilaumu maisha yake yote kwa mistake aliyofanya leo.
Misri soka lao la uhakika!
1. Mimi nawapongeza! Eti kwa kuwa hawatumii kilevi ndo huwa na hiyo stamina?
2. Kuna thesis ingine eti Wachezaji Weusi wanacheza Ulaya - na wanaogopa kuumia na hivyo hawajitumi na kujitoa kama walivyo Wamisri! Wachezaji wote Misri wanacheza soka hapo hapo home Misri!
3. Kuna siri gani kwa hawa Misri?
Former Nigeria striker Daniel Amokachi says some European-based African players do not match their club form whilst playing for their countries.
Amokachi, who won the Africa Cup of Nations with Nigeria in 1994 told BBC World Service: "Football is a business, players are scared of getting injuries.
"That's what killed the last Africa Cup of Nations in Egypt - expectations were high but the football level was low."
Over 40 players based in England are playing in the tournament in Ghana.
Kwa kuwa mashindano haya ndiyo yamefikia kikomo, ningependa tuchague JF goal of the tournament na best player. Na kwa kuwa tunao wacameroon kwenye group yetu ya world cup qualifiers- tuwape ushari gani vijana wetu wa Stars baada ya kuona uchezaji wa Indomitable lions?
Mimi binasfi best goli langu ni la Manucho wa Angola na my best player ni Alexander Song, I think Wenger should start using him more regularly.
Cameroon wazee wengi na michezaji mingi ina mijiumbo mkubwa na hii inanyima kasi, kinachotakiwa kwa stars ni fitness ya hali ya juu na wacheze mpira wa kasi sana. Na wasisahau kumloga Etoo!