African countries (TZ) tulitakiwa tupate uhuru miaka ya 1990-2000. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

African countries (TZ) tulitakiwa tupate uhuru miaka ya 1990-2000.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Safety last, May 19, 2011.

 1. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #1
  May 19, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Sioni ule uhuru tuliokimbilia miaka ya 60.viongozi wamekuwa wezi mafisadi,hakuna kuwajibika,the same problems since indpnt poor,infrastructure.education, health,btn 48 poor countries 30's came frm africa white they hv come again with privatisation,tunachuuza kwenye nchi yetu.vilivyofanywa na wakoloni ndo tunavyoviendeleza.discrimination ,uzembe etc uhuru uko wapi au mm ndo sijui maana ya uhuru nafikiri wakati sahihi kuwa huru labda ni miaka yatisini mpaka elfu 2.labda kungekuwa na tofauti!
   
 2. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #2
  May 19, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Hata tungepewa leo kwa staili ya viongozi kama JK tusingetoboa. Uhuru ilibidi tupewe mwaka 2500!
   
 3. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #3
  May 19, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  yeah it might be..... things ar so bad man no jobs everythng worse
   
Loading...