chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 12,047
- 34,853
Hawafi njaa kama ninyi na wana vita, sina hakika kama wanapokea misaada ya chakula, nimeshtuka kuona wana deni dogo sana la Taifa wala hawategemei kuomba misaada ili kulipa mishahara kama ninyiWestern Congo hakuna vita sana na huko ndipo Kinshasa ipo. Kinshasa yenyewe ni megacity na ina watu zaidi ya milioni kumi. Africa ina megacity chache ikiwemo Cairo, Lagos na Kinshasa. Wewe unadhani city ya watu milioni kumi kama Kinshasa itakosa kuwa na magari mengi? Halafu Wakongomani ni watu wanaopenda kujituma na sidhani kama ni Malazy.