African Countries by number of Dollar Millionaires

Haya ni matumizi mabaya ya ujinga.
Nakushauri rudi shule.
Ngoja wewe nikupatie shule. Udidhani sisi ni wapumbavu kama nyie.
Do you know godaddy.com!?
Professional websites don't register website by godaddy.com

godaddy.com is cheap for poor people like you to spread stupid propaganda.

Also the NS of the website you attached is the same NS ya mwanzilishi was hii thread.

Usituzingue.
View attachment 1635576View attachment 1635577
Professional websites don't register website by godaddy.com 🤣🤣🤣🤣🤣 Do you even know what you have said? Professional Websites?

FYI Godaddy has a yearly revenue of $2.9Billion na hao ndo world’s largest domain name registrar! , Lakini hio hata si main issue, Main issue ni kwamba ulisema moguldom.com ni tovuti ambayo inahusiana na wa East Africans kwahivyo iko na bias towards Tanzania, nikakuonyesha data hio ilitoka kwa NewWorldWealth.com ambayo ni kampuni ya Europe kwahivyo haina uhusiano wowote na EastAfrica!!!!

Kwanza NewWealthReport inafanya compilation ya utajiri dunia nzima, Kampuni hio ya Europe haina muda wa kuionea ka nchi kadogo kama Tanzania kwa kuwapunguzia vi millionaire vyenu 🤣

1606835320574.png

Kwahivyo usianze kulaumu Domain Registra kama sababu ya kutoamini data iliochangishwa na wataalam...... Ni kama vile blogers wengi sana hutumia WordPress, wakati vile vile kuna kampuni kubwa kubwa za kuaminika kama vile BBC, Sony Music, Harvard ambazo hutumia WordPress kwa web hosting ... Sasa unataka tuseme hizi kampuni zote kubwa ni fake kwasababu wanahost tovuti zao kwa kampuni ambayo hutumika na ma bloggers ambao wengine hutumia kueneza propaganda??? Rudi kijiweni ukadanganye toto jinga!
 
View attachment 1639261

Acha ujinga kuandika mandishi mengi.
1. Tell to own domain name server is difficult!?
NB: I have my own name server.

2. Tell me whith evidences which reliable company registered domain via godaddy.

3. You are talking about WordPress!!! Who asked you about it!? Are you stupid or something!?
 
You seem to have a small brain which makes it difficult to understand logic in a conversation.

you say godaddy inatumika na watu wa propaganda...

I say pia WordPress hutumika na watu wa propaganda kama hosting site... Even though kwa upande mwengine pia inatumika na watu serious.

Kwahivyo by simple logic, hizo point mbili zina support logic kwamba just because inatumka na bloggers haimaanishi kila anaetumia ni blogger ambae lengo lake ni kueneza propaganda!

Alafu huu hapa mfano wa ku proove hio logic:

Hii kampuni Marcantonio Global Enterprises ndo imepewa kandarasi ya kukagua teknologia mpya mpya za US Military ikiwemo satelites kuhakikisha ziko sawa, hii ni kandarasi ya nguvu na hii kampuni ambayo tovuti yao ilisajiliwa na godaddy.com ndo imepewa madaraka hayo muhimu! So niambie wewe, isn't this a reliable company???
 
Go back to school bro. You are stupid, and you don't know what is going on on earth.
Can you tell me where did you get this information?
👇👇👇
Hii kampuni Marcantonio Global Enterprises ndo imepewa kandarasi ya kukagua teknologia mpya mpya za US Military ikiwemo satelites kuhakikisha ziko sawa, hii ni kandarasi ya nguvu na hii kampuni ambayo tovuti yao ilisajiliwa na godaddy.com ndo imepewa madaraka hayo muhimu! So niambie wewe, isn't this a reliable company???
 
Can you quote where did I say godaddy inatumika na watu wa propaganda?
Please

Kwani una miaka mingapi wewe, hata hujielewi unachoandika, unaropokwa bila kufikiria unachosema sasa unaanza kuniuliza nikukumbushe ulichoandika!!

Haya ni matumizi mabaya ya ujinga.
Nakushauri rudi shule.
Ngoja wewe nikupatie shule. Udidhani sisi ni wapumbavu kama nyie.
Do you know godaddy.com!?
Professional websites don't register website by godaddy.com

godaddy.com is cheap for poor people like you to spread stupid propaganda.

Also the NS of the website you attached is the same NS ya mwanzilishi was hii thread.

Usituzingue.
View attachment 1635576View attachment 1635577
 
I say pia WordPress hutumika na watu wa propaganda kama hosting site... Even though kwa upande mwengine pia inatumika na watu serious.
Unaanza kuingiza Worpress😲😲😲 Are talking about Wordpress? How come uongelee WordPress?
I told professional website has the Domain Name Server ambayo inaeleweka and Serious.
Hiyo godaddy I can create domain even now as far as I have money
1606910099220.png

Stop you stupidity
 
Aaaaah! Naona watu wanang'ang'ania status sizo za kweli basi tufanye tumekubari kwa dlk 10 hafu tuone kama vichwa havi japasuka mnapenda mno sifa aisee punguzeni itawasaidia na sisi watanzania tunabidi tuwetunawaacha ili wanavyodondoka tunaanza kuwacheki kama vile kwenye corona maana sifa sio nzuri kabisa
 
uongo ukitajwa sana huanza kuwa kama ukweli.

hawa watoto wa mamdogo tunawajua,wana viranga sana.
 
Unaanza kuingiza Worpress😲😲😲 Are talking about Wordpress? How come uongelee WordPress?
I told professional website has the Domain Name Server ambayo inaeleweka and Serious.
Hiyo godaddy I can create domain even now as far as I have money
View attachment 1640103

Stop you stupidity

Kwani ni uongo? godaddy is cheap for non professional people kama wewe.
Registering domain for 0.99 Euro
Nani atashindwa?
View attachment 1640107

Hosting just 3.99 Euro per month.
Very cheap for poor like you.

View attachment 1640108

Kumbe hata you are stupider than I thought, What has price of domain registrar got to do with professionalism ama trustworthiness of a website???? dude seriously!!!!!
The price of a digital product is dependent on business model of a company, it's got nothing to do with the quality of the product. Its also about demand and supply.

And BTW, how many companies still use the free email hosting servers like gmail.com for their official company email address instead of using their own unique top-level domain that they own and paid for? Does that make those companies poor or untrustworthy???

Ulianza na moguldom ni ya mwafrica anaechukia Tanzania, Ukaja newworldwealth inatumia godaddy ya wanapropaganda sasa umeshageuza goalpost eti sasa cheap registration fee ya domain registra kwahivyo tusiamini taarifa ya tovuti 😇😇 enda uka kojoe ulale
 
Back
Top Bottom