nimeshindwa kujizuia. hivi una umri gani? yani umeongea kama mtoto wa miaka 7 hadi 8 ambae hajanywa uji!Kwa akili yako ndogo unadhani uhuru or Ruto si billionaires?
Mali ya Kenyatta Ni mara kumi ya Dweji
Shamba pekee zinaworth billions,
Ni vile Forbes doesn't count politicians.
Shamba yake ya from kasarani hadi kiambu inaworth more than $1B
kwaiyo msingi wa hoja yako ni hisia zako? yani unauliza kama mtu "anadhani" Kenyatta na Ruto sio billionare! na hiyo nayo unaona point?
eti "mali ya Kenyatta ni mara kumi ya Dewji" sasa hayo makadirio ya 10 umeyafikiaje? kwanini sio 9 au 11?
"Shamba pekee zinaworth billions," je, hayo mashamba ni acre ngapi? hizo billions ni billioni ngapi na nani aliyeyatathmini?
Sijui kama unaona ujinga ulioandika?