Elections 2010 African barrick gold yaiua tanzania kiuchumi

Bally B

Senior Member
Jul 11, 2010
143
17
Hii Kampuni ya uchimbaji madini ya African Barrick Gold kiukweli inaiujumu uchumi wa Tanzania Haiwezekani watu wafanye kazi Tanzania halafu mishahara yao ilipwe kutoka Afrika kusini,wakati huo huo tunalia ya kwamba hela ya tanzania inazidi kushuka thamani.Pia wafanyakazi wamekuwa wakilalamika kuchekeleweshewa mishahara yao wakati mwingine kuingiziwa katika banki isiyo kuwa ya mhusika,

Swali: Je Serikali yetu hii inalitambua hilo na kama inalitambua Inamkakati gani wa kuinua uchumi wetu kama fedha za kigeni zinaingia kwa namna hii uchumi utakua kweli,
 
yako mengi ya namna hiyo, cheki na nbc, shoprite nk ujue tumeweka rehani uchumi
 
Jibu ni Octobaer 31, ingawa napata wasiwasi baada ya JWTZ kuanza kutupa vitisho. But the President Elect. Dr W. Slaa will make the way through. Na wote tutafurahi pamoja, tutajenga nchi kwa moyo mmoja na kulitumikia taifa wakati mwingine hata bila mshahara lakini siyo chini ya ccm.
 
Aaaaah kikwete kweli ni jembe lisiloweza hata kupalilia bustani yaani hata hilo halijui kuwa ni chanzi cha umaskini kwa Tanzania jamani!!he has no shame huh!
 
Back
Top Bottom