Africa yamkubali JP Magufuli

Tumechoka na maigizo ya tumbutumbua na maagizo ya kukurupuka . Nimetoka kununu sukari sasa bei ni ile ile.
 
ukwel unauma, hayo mambo hawataki kuyasikia ukawa, wao wanataka tu mtu akishindwa ndo utawasikia, sa iv hawana hoja,
Hata Kikwete walimkubali pamoja na Museveni kwahiyo kumkubali Magufuli sio kitu kipya au wewe unaweza kutwambia ni kiongozi yupi walimkataa
 
Ukawa kila siku mnahamisha magoli,,mmetaka mabadiliko,mkataka mawaziri,,mkataka wakuu wa mikoa sasa mnataka uchaguzi wa meya,,ukifanyika mtataka nini?
 
Back
Top Bottom