Africa yaendelea kuikataa Kenya, Ghana yachaguliwa kuwa makao makuu

Tumetengwa bana
Hahahaha, mtabaki kupokea viongozi raia wa nchi zingine tu. Kamwe haitotokea mkenya kuwa kiongozi wa AU, au kuwa HQ ya body yoyote ile ya AU.
safari-rally-podium-manvir-baryan-741x486.jpeg
uhuru-kenyatta-olivier-ciesla-safari-rally-741x486.jpeg
 
Hahahaha, mtabaki kupokea viongozi raia wa nchi zingine tu. Kamwe haitotokea mkenya kuwa kiongozi wa AU, au kuwa HQ ya body yoyote ile ya AU.
Chairperson wa OAU/AU ni muhula wa mwaka mmoja, Daniel Moi alipewa u chaiperson wa OAU miaka mitatu mfululizo!!! Tena Kenya ndo ilipata OAU/AU chairperson kabla Tanzania kupewa ilhali tanzania ilikua ya kwanza kuform OAU....Hakuna Rais wa nchi yoyote nyengine ashawahi kupewa AU chairman miaka mitatu mfululizo! https://en.wikipedia.org/wiki/Chairperson_of_the_Organisation_of_African_Unity

Alafu tukija kwa chairperson/Sec general wa AUC, Ukiangalia kihistoria nchi ndogo ndogo ambazo hazina geopolitical au political influence yoyote ndo hua zinapewa uongozi wa AUC, tukuanza na current AUC chair Moussa faki wa Chad, nchi ambayo haina any political clout in Africa, Nchi ambayo iko na military base ya mfaransa, UK, US... .. Nchi zengine ambazo zimeshikilia AUC ni Ivoru coast, Mali, Togo, Niger, Guinie, Cameroon imeshikilia mara mbili, Gabon, Infact when SA vyied forthat position Nigeria and Egypt walipinga vikali manake nchi zenye influence kubwa Africa hazipaswi kutafuta AUC chairperson....

And FYI, Kenya ilishikilia Deputy AUC chairperson kwa mihula miwili mfululizo kutoka 2008 hadi 2017, tena kwa kushinda na 98% of votes za marais wote wa Africa, (hio 2% must have been Tanzania)

1151202

At the time Amina mohamed alikua anatafuta AUC chairman, Erastus Mwencha wa Kenya alikua yeye ndo deputy AUC chairman, Amina alipokosa, bado Erastus alipewa muhula wa pili, tena kwa 98%, hii inaonyesha hao marais wa Africa waliheshimu Kenya baada ya kukosa chairperson ilikua hakuna nchi nyengine itapewa Deputy.....

Mpaka kuna watu huku Kenya wakati huo walikua wanajiuliza kwanini huyu Erastus hakuchaguliwa na Kenya badala ya Amina?

------------------

Mr. Mwencha was elected in January 2008, as Deputy Chairperson of the African Union Commission by the Heads of State and Government of the 54 Member States of the African Union and re-elected to the same position in July 2012 with an overwhelming vote of 98%.

Now, with a Kenyan already holding such a high position in the African Union Commission, and with support from 98% of the Heads of State and Government of the 54 Member States of the African Union, won’t it be prudent for the Kenyan President and his Deputy to support him for the Chairmanship of the African Union Commission? That is, if the driving factor in all this is 1) Qualification and 2) The desire for an East African to be the AUC chairmanship?
---------
Kabla AUC, huyo erastus alikua Secretary General wa COMESA kwa miaka kumi mfululizo yeye ndo anatambulika kwa kufanya COMESA kua the largest free trade area (FTA) in Africa.

Wewe endelea na hizo story zako za vijiweni za kwamba eti Kenya haikubaliki Africa, Mbali na Chairmanship kuna commisions nyingi sana za AU ambazo wakenya wanazingoza ...
 
View attachment 1151202

Umepatia hili libot la fisiem za uso, sioni akirudi hapa tena.
 
Vipi kuhusu Amina Mohammed?, acheni visingizio, hakuna nchi itachagua Kenya kuiongoza Africa ktk jambo lolote lile, ninyi ni vibaraka wa wazungu, Africa yote inajua.
Sema ni wewe tu ,mwenyekiti wa kamati ya wenye wivu, Kenya itachaguliwa tena na tena sasa sijui utakuwa ukivingirika kwa kaburi lako mara mia sita kwa saa sababu ya uchungu ama nini?
 
Sema, wapi Kenya imechaguliwa katika position kubwa iliyohusisha wakuu wa nchi za Africa kupiga kura?, hizo positions alizotaja huyo lofa mwenzenu hapo juu, zote ni positions ndogo ndogo zisizohusisha maamuzi, lakini zinapokuja nafasi kama 1)Mwenyekiti wa AU, 2)Katibu mtendaji/Katibu MKUU, au kuwa HQ ya Secretariat yoyote ile ya AU, nafasi ambazo wakuu wa nchi ndio wanapaswa kupiga kura, Kenya haiwezi kuchaguliwa. Kenya ni vibaraka wa wazungu, na wasaliti wa Africa, Africa yote inajua hivyo, hata Julius Malema alisema.
 
Tanzania ni taifa kubwa sana katika "African diplomacy", tukiamua Ku bid hatukosi, ila hivi vitu tulishavifanya zamani sana tulipohifadhi vyama vyote vya ukombozi wa Africa, sasa hivi acha zile nchi ambazo hazihawahi kuifanyia lolote lile Africa zijaribu kujitutumua.
1153012
 
Baada ya Kenya kushindwa katika lengo lake la kumpigia debe Balozi Amina Mohammed ili kuwa mwenyekiti wa Umoja wa Africa miaka miwili iliyopita pamoja na kuweka juhudi kubwa na kutumia pesa nyingi ili kufanikisha lengo hilo, kwa Mara nyingine tena, nchi za Africa zimeonyesha kutokua na imani na Kenya baada ya kuichagua Ghana iwe ndio makao makuu ya sekretarieti ya Africa kuhusu biashara huru barani Africa.

Kenya imekua Mara kwa Mara ikijaribu kugombea nafasi mbalimbali za Africa bila mafanikio, hii ni dalili wazi kwamba nchi za Africa hazina imani na Kenya, hii ni tofauti na mashirika mbalimbali ya nje ya Africa ambayo hupendelea kufungua ofisi zao Nairobi. Je hii ni kusema kwamba Kenya inakubalika zaidi nje ya Africa kuliko ndani ya Africa?, kama jibu ni ndio, sababu gani inayosababisha Kenya isikubalike Africa?
KAMA UMESHA SEMA KUWA WANA KUBALI ZAIDI MAMBO/SHUGHULI ZA NJE KULIKO MASLAHI YA AFRICA BASI TAYARI IMESHAKUWA TOTAL DISQUALIFICATION FOR ANYTHING RELATED TO OUR OWN INTERESTS HERE IN THE CONTINENT. AND I ALSO GET SOME FEELING THAT THEY JUST WELCOME OR ACCEPT SO MUCH OF WESTERNERS THAN USUAL. SAD!!
 
Back
Top Bottom