Africa Ni Bara La Giza

MkamaP

JF-Expert Member
Jan 27, 2007
8,142
3,217
Nimekua nikikasirika sana hawa wazungu wanaponiambia nimetoka ktk bara la giza afrika

Na nimekua mstari wa mbele kuwaulaumu ndugu zangu pale wanapojitamburisha wao wanatoka Jamaica ama Marekani. Na nilikua sioni sababu ya mtu kukana bara lake na nchi yake .mara nyingi nimekua nikienda mbali nakusema hawa ndugu zangu wenda hata wanajuta kuzaliwa weusi.

Kumbe mimi nilikua napotea Maana wanakila sababu za kukana nchi zao.
Na wanachojaribu kukwepa ni msononeko wa mawazo kitu ambacho hata muungwana atafanya.

Mfano fikiria pale Waziri/Rais wako anapoiba fedha za wananchi wake walioibiwa ndio wanaadhibiwa kwa kupigwa mapanga na kumwagiwa acid machoni Tz type.

Mtu mwema anapoamua kufumbua uozo kama Hon marehemu Chifupa Amina na badala yake yeye ndiye anauawa .Tz type

Watu wanapokuibia mali zako na ukiwakamata unawapeleka mahakamani na mahakama inaamua basi mali hiyo mugawane nusu kwa nusu .kenya type na muibiwa wa mali naye anakubali mgawanyo wa mali yake ie Raila Vs Kibaki. its happening only in black univrse ths Africa.

Mtu anapobeba Smg lake akamufyatulia raia akaua akapelekwa mahakamani muuaji akapitia ktk lango la pirato(jaji) mdai akapitia ktk lango la muaji mwisho jamaa anaachiwa anakua mjasiliamali ana .Hey Don't u see how terrible is?? definetely even Ngedere/kima can see how far terible is.
Hua kuna wanyama wadogowadogo wanatembea kikundi na wana simama kwa miguu miwili kuangalia usalama watani zangu wala ndizi huwaita Nguchiro .Amini na kuambia ukiwafanyia kitendo kama hiki lazima watakuvamia na kukushambulia.kumbuka hawa ni wanyama

kwa upande wa pili je kweli kuna haja ya mtu akikukosea umupeleke mahakamani??I miss word.

BLACK CONTENENT is AFRICA .No OBJECTIONS
Sasa fikiria Viongozi wa Nchi ndio kioo cha nchi na reflection yao ndio wa character ya wananchi wa nchi husika.Sasa kama viongozi wako wanaiba pesa zako na ukinyanyua lips zako unamwagiwa acid wewe kabwela utaonekana vipi? in general mbele ya macho ya watu wa nchi zingine si utaonekana ni jambazi,kimafya fulani,kituko fulani,ni watu wanaoishi bila kulogic wenye IQ bomu wanaoishi kama NYANI na NGEDERE ,kima fulani??

Hakika ndugu zangu ni msononeko wa mawazo,msoneneko wa akili unaosababishwa na akili za GIZA za kishetani.

Jamani naomba mniwie radhi kwa maneno makali ninayoanza kuporomosha-na kuuliza hivi?

Hivi Afrika inaongozwa na watu wa kawaida ama na watu waliovaa joho la kishetani??
Hivi huyu kama ni mtu wa kawaida yani maishani kwake hajawai kuona binadamu kafariki Na watu hawa hua hawajiulizi hapa duniani nis ehemu ya kupita tu .?? Hapana hapa kuna GIZA ZITO ambalo hata shetani analiogopa.

Hivi jamani umeshakua waziri miaka 30 na umekua Rais miaka 10 Na bado unalipwa kila mwezi pesa nyingi tu hadi kifo kikute bado una nyumba kila mkoa wewe unamiaka 65 ama zaidi bado unaiba pesa za walala hoi sasa za nini na ufanyie nini na kwa nini na ili iweje na uzifanyie nini ni ili iwe nini na mwisho uzifanyie nini na kwanini na pawe nini???

Mtu umekua waziri miaka 20 umekua na ming'ombe kila mkoa ambayo hata hujui idadi yake una shamba la ekeri nyingi hadi idadi yake hujui una nyumba kila mkoa umekua waziri mkuu bado una mshahara hadi kifo kitakapokukuta unaiba pesa zingine ili iwe nini.

wewe umekua waziri miaka mingi umekua hadi Rais una mihotel Babu kubwa una nyumba za kutosha umeibia watanzania wanyonge ,kule uswiz usa na londani unami account ya fedha ambayo idadi hujui na bado hadi mauti yatapokukuta utakua unapokea posho la kutosha.Na kama hiyo haitoshi ya kuiba pesa sasa ukaamua kuzinyonga nafsi za watu kwa makusudi kwa kuzifunga kifungo cha maisha gerezani kwa mfano BaBU SEYA kwa sababu ya kahaba.

Sasa hizi aibu zote zinamuangukia asiyestaili huu msononeko unamwangukia mtu mwengine mtu huyu asononeke mpaka lini?? Mfano kwa mtu mwenye busara mwenye nyadhifa akikutwa na kashifa huamua kuachia ngazi.Sasa je huyu anayesononeka naye ajiepushe vipi na sononeko hilo naye aachia ngazi?? kwa kulikataa bara lake na nchi yake?? ama ninyi mwasema je??

Je hapo mtu akaamua kuikana nchi yake atakua amefanya vibaya???

Harafu mwanzo mie nilikua nafikiri wazungu hua wanatuita nyani labda kwa sababu ya rangi yetu nyeusi Na saizi msimamo huo nimeanza kubadili, kumbe wanatuita nyani kwa matendo yetu wakifananisha na ya mnyama haswa nyani mfano pale nyani anapovamia shamba lako la mahindi na ukijaribu kumtoa tena bila kumdhuru kwa kumpigia kelele tu Yeye kwa sababu zake za kinyani hufikiri ana haki ya kula mahindi ambayo hakupanda pia kumgekua mwenye shamba aliyopanda hayo mahindi na kumurarua vikali ikiwezekana amsababishie mauti kwa kufikiri ni haki yake ya msingi kwa sababu zake za kinyani,eti anapigiwa kelele na mwenye shamba kwa sababu zake za kinyani
 
Ni nzuri mada imetulia hakuna hata moja ulilokurupuka yote yapo kinachotakiwa sasa ni kizazi cha COCACOLA kuondoa uozo huu.
 
Mkamap:

Ukifikiri sana unaweza kuwa paranoid na kuanza kuzungumza pekeyako.

Kusanya nguvu Bro. na jaribu kufanya vile unavyoweza. Tupo wengi na namba inaongezeka. Na usijaribu kumshawishi asiyetaka kuwa mwafrika kuwa Mwafrika (Good Riddance).
 
Sawa mkuu nimekusikia.
 
Mkamap,
Trust me, nimekuwa nikifikiri sometimes the same - ukianza kuangalia benefits zote walizo nazo viongozi wa Tanzania kwamfano kwa ngazi ya Raisi, makamu na waziri mkuu! Haingii alkilini kuona mtu bado anakurupuka kukwapua hata kidogo ambacho yamkini kingemsaidia kusomesha watoto wa maskini wa nchii hii.
Haya yananikumbusha habari ya Mobutu - mwishowe fedha zote wanazo accumulate kwenye mabenki ya nje zitaliwa na wazungu peupee bila jasho.
Haya na tuone.
 
Sasa ndugu yangu nini kinachotusibu??? maana haingii akilini kabisa.
 
Mkamap,

Hii hoja zuri...ni tamaa tu ya conscpicios consumtion.. ! Hata mimi najiuliza je;

1. Waziri au Katibu mkuu unahitaji gari la 100m kukutoa Osterbay kukuleta Samora Ofsini?

2. Mfanyakazi wa serikali unaiba pesa za chakula msaada wakati wa njaa na kujenga jumba la ajabu la 100m wakati mshahara ni 400,000 na wakati watoto wanakufa kwa kukosa mlo!

3. Dereva wa bosi ana mshahara wa 150,000 na anaendesha gari la 100m kumpeleka bosi ofsini! Basi ikifika jioni akishapaki gari anamwomba bosi Shs 300 za kupanda daladala!

4. Mtu ni waziri/raisi anajenga nyumba ya kuishi ya vyumba 12 ya pesa nyingi wakati yeye ana watoto wawili tu na wote ni wakubwa tayari wana kazi zao! Cha kushangaza, maji ni ya shida na vyoo hutumia maji ya ndoo! Kwa nini asiwekeze ktk kuwa na maji ya uhakika kwanza?

This is only in Afrika!

Ndo maana wengine wanasema ndo jinsi tulivyo!
 
Inasikitisha sana tena sana ila hili ni GIZA
 
You couldnt say it any better bro!. Kwa kweli hiyo ni puzzle. Ndo maana kila nikifiria naogopa usemi wa Nyani! Ndivyo tulivyo? Maybe yes, maana its only in Africa!

Yaani sielewi nini kinatusibu! Its scary when you think of the "dark continent" and the IQ of its inhabitant ofcourse...sijui tufanye nini..Sina jibu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom