Africa Must be colonized again; kuna mtu bado anapingana na Trump

Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,818
5,007
Kwa maelezo take na sababu alizozitoa Mimi namuunga mkono kwa 100% wewe je?

1. Rais Wa Zimbabwe
2. Rais Wa Burundi na yanayoendelea huko

3. Rais Wa Uganda na yanayoendelea kwa wapinzani

4. Rais wa Gambia aliyeshindwa akataa matokeo

5. Uchaguzi wa Zanzibar wafutwa

6. Rais wa Ivory Coast afikishwa mahakama ya uhalifu ICC

7. Yanayoendelea konngo na kusababisha RAIA kuwa wakimbizi

hiyo ni mifano tu na inatosha kuharariha nia ya Trump kuwashughulikia viongozi Wa Afrika na ile ya Afrika must be colonized again
 
Bora ungetoa muafaka wa hayo kuliko kusapoti hayo majamaa yaje kututawala unadhani tutabaki salama kweli..?
 
Sijajua ikulu kunanini, au mishahara ya marais in kiasi gani, mbona viongozi wengi was Africa hawataki kutoka madarakani kwa njia ya amani, nitakubali usemi unaosema white black mask,
Viongozi wengi wa Africa bado wana cancer uroho was madaraka, hasa sub sahara Africans, tatizo ni nini, colonial legacy, utajili wa bara la Africa, au ikulu kuna nini,
Nisiende mbali nikawaza rangi ,colour black , au mind , tatizo ni nini, mliamua wenyewe kuwa upande was capitalism hivyo basi ni lazima mfuate democracy, democracy ndiyo hiyo ukifika mda wako wa kuwa out of systems your allowed to be out,
Matokeo ya kungangania madarakani mnapelekea vita, mauaji ya haraiki, wakimbizi, kuaribika kwa miundombini, umasikini uliopitiliza, aibu ana utu unapotea,
Kama hamtaki kutoka madarakani yawapasa mrudi kwenye socialism huko ndiko kuna utawala wa kifalme, utakaa milele na milele had I kufa, maana hakuna democracy but dictatorship only,
Tatizo viongozi wa Africa mna macho lakini hamuoni, mna masikio lakini hamsikii,
Kamakutoka madarakani imekuwa shida utazani queen system (Monarchy) vipi kampeni ya AFRICA as a single state, haitawezekanika kamwe, within a single region hutaki kuachia, ukipewa bara zima,
Africa is the black continent, thanx
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom