Africa is not poor, we are stealing its wealth

Great book written by Walter Rodney mkuu.
Tatizo letu Watanzania hatupendi kusoma. Kazi kupayuka tu kwenye mitandao ya Kijamii.
Kujisomea vitabu kunafungua maarifa na akili,pia huongeza kiwango cha kujitambua.
Hayati Rodney, namkumbuka sana Mjamaica huyu. Nilipata bahati ya kupata lecture zake.Great man indeed.
 
Huu ndio ukweli.Mimi huwa nazifikiria Uingereza,Ufaransa,Ujerumani,HollandBelgium na Luxemborg, achilia mbali Italy, Portugal, Spain na vinchi vingine fukara fukara vya Ulaya.Hizi nchi hazina resources za maana ambazo unaweza kuzungumzia, but they are awash with wealthy.Wanapata wapi huo utajiri?Obviously kwa kutuibia.Wapo watu sijui wana akili gani, eti tuwaache waendelee kutuibia!Ridiculous.Frankly siwaelewi.We are prepared for anything,lakini hatuwezi kuvumilia upuuzi huu unaondelea.Inatosha. JPM tuko nyumba yako.Natamani kile kitabu nilichosoma First Year kwenye Development Studies SUA kinachoitwa "How Europe Underdeveloped Afrika" kingepatikana kila mahali wakati huu ili watu waujue ukweli kuhusu Ulaya na America.They are so cruel.
Hongera mkuu, lkn hiki Kitabu kiko Secondary nami nimekisoma KIBITI- ni Bwn Walter Rodney ameishi sana hapo udsm
 
Back
Top Bottom