Africa democracy is in danger when leaders overstay their welcome

Jul 8, 2013
47
65
Rais Mstaafu wa Marekani aliwahi kusema 'Africa democracy is in danger when leaders overstay their welcome'.

Chama tawala nchini Uganda kimempitisha Yoweri Museveni kuwa mgombea wa urais katika uchaguzi mkuu ujao akishinda atakuwa ameitawala Uganda kwa miaka 40, is this democracy?

Nakubaliana na maneno ya Obama, demokrasia ya Afrika iko hatarini ikwa viongozi wataendelea kung'ang'ania madarakani

Miaka 40 madarakani ataleta kitu gani kipya kwa raia wa Uganda? Hii ndio demokrasia yetu waafrika?

Huko Equatorial Guinea Teodore Obiang Nguema yuko madarakani tangu 1979.

Sikubaliani kabisa na mtindo huu wa viongozi kubadili katiba ili wasalie madarakani
 
Back
Top Bottom