Africa bado tuko kwenye basic needs food cloth na shelter mengine hayatuhusu

Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
10,087
15,959
Mtazamo wangu..kwanin wa africa hatupigi hatua za kimaendeleo,uchumi,technolojia,siasa,jamii etc..hii imetokana na kwamba,ukiachilia sabab za ki jiografia tumeingia ama tumevamia mifumo ya maisha ambayo haiendani na level yetu,mfano,utandawazi,techolojia,na biashara na uchumi..dunia iliyotuzunguka imepiga hatua na ilishapita huku kote zamaan sana,mfano,leo kilimo hakithaminiw ila biashara zenye majina na kuonekana na mashiko ni biashara za tellecomunication ,ni kwel ni biashara yenye faida kubwa ila inamnufaisha mtu mmoja mmoja,leo hii watu wanaongelea kilimo kwenye green houses akat tuna ardh yenye rutuba ya kufa mtu,leo hii tymeifanya dunia kijij na sis tumekubal matokeo yake muingiliano wa kibiashara unasababisha utapel mkubwa kama haya ya mchanga etc,tunashindwa hata jitetea mbele ya hawa mabwana wajuaj wa sheria na mikataba,leo hii elim ya ki dot com,wanafunz had hisabat ni kutia tick tuu,leo hii biashara za networkin,mara foreva mara D9,mara desi ndo zmejaa africa..wazungu wale walifanya mapinduz makubwa kwenye kilimo na viwanda,leo wapo vile,sio uchaw,.
 
tapatalk_1497532272743.jpeg

Naomba nisiongeze neno tafadhali
 
mie naona tuko poa tu lol,
sema tunachekesha watu,
ukiingia sehemu nyingine unaambiwa kilimo ndio backbone of Tanzanian economy,ila ukiangalia ni wangapi wanalima utashangaa,ni vijijini tena wachache,,,,,,,,mkuu hii ni sehemu moja ambayo ni ya kuangaliwa.

pili ni lazima tushindane,sasa tutaperform vipi kama hatutamake comparisons tujue tumeendelea?si kweli kuwa hatuitaji vitu vingine Zaidi ya nguo,chakula na malazi,kwa mfano technology,nyingine zinasaidia 'kilimo cha kisasa' so its useful kwenda nao sambamba
 
Probably true,..ila what i meant ni kwamba,nchi hiz tungejikita kwenye chumi ambazo ziliwatoa wenzetu,..na sio hiz modern economies,..sabab sis tunataka kwenda sambamba na dunia wakat dunia imetuacha,tunarukia modern economies wakat chumi za kawaida znatushinda,na ndomana tunakua watumwa wa chumi hiz,na tumebak kuwaskiliza wao watoe miongozo,hii ni sababu tumeruka stage na tumerukia stage yao ambayo wao waliifanya miaka 300 iliyopita..africa inabid tu exploit resources zetu wenyew kama wale wazungu na waarab walivokuja ku exploit huku,haya mambo yanaenda stage na stage,sasa sis tunarukia stage za future akat tuko bado 1500s.wazungu miaka hii walikua wana exploit resources,kilimo,madini,bahari,mito maziwa,wanyama na human resource,walihakikisha hakibak kitu.sasa sis tuko kwenye mziki,mara iphone,mara tecno,mara vocha,mara D9,mara flyover,mara bombadier,mtu una line 5 za simu,kweli uchum utajengwa hapa au ndo kua inslaved kisaikolojia
 
Mkuu stage gani tumeiruka? be specific, tunafanya nini sasa hivi ambavyo vilitakiwa vifanywe baadae?

kama ni kuexploit resources,unataka tutumie njia zao za miaka hio,hujui technology imeadvance,that means what ever was done,can be done better these days,because of technology,.............km sijakuelewa nisahihishe,lol.

nimekupa mfano wa 'kilimo cha kisasa' ambacho ni results ya what we have been doing for ages,plus technology.
 
Hatua tuliyoiruka ni kwamba instead ya kuhustle na watu kua wabunifu na kutaka kujua vitu na kujifunza,sis tunabakia kutumia vya wenzetu,technolojia kwa ujumla,kwa mfano,kama tungekua hatuna altenative ya tractor kutoka nje,tungelimia jembe had akili zingechangamka ungeona tuu watu wanabuni na kutengeneza machine,..sjui kama unanielewa lakin,Unadhan ni kwanin hakuna innovations africa,za machines etc,ni kwasabab tumerahisishiwa na technology toka nje,mfano,imagine tusingekua na access ya hizo vitu.na uhakika tungeteneza wenyew,..north korea unawafaham,.wale miaka kadhaa nyyma walikua maskin wakutupwa,lakin angalia sasa ,ni tishio kitechnolojia etc na nchi zipo nying za mifano ambazo hawakuruhusu muingiliano huu na sasa wako mbali..tunapotaka ku exploit resources kwa advancement ndo hapo tunawaita wazungu halaf yanakuja haya mambo ya makinikia
 
Back
Top Bottom