Napoleone
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 10,087
- 15,960
Mtazamo wangu..kwanin wa africa hatupigi hatua za kimaendeleo,uchumi,technolojia,siasa,jamii etc..hii imetokana na kwamba,ukiachilia sabab za ki jiografia tumeingia ama tumevamia mifumo ya maisha ambayo haiendani na level yetu,mfano,utandawazi,techolojia,na biashara na uchumi..dunia iliyotuzunguka imepiga hatua na ilishapita huku kote zamaan sana,mfano,leo kilimo hakithaminiw ila biashara zenye majina na kuonekana na mashiko ni biashara za tellecomunication ,ni kwel ni biashara yenye faida kubwa ila inamnufaisha mtu mmoja mmoja,leo hii watu wanaongelea kilimo kwenye green houses akat tuna ardh yenye rutuba ya kufa mtu,leo hii tymeifanya dunia kijij na sis tumekubal matokeo yake muingiliano wa kibiashara unasababisha utapel mkubwa kama haya ya mchanga etc,tunashindwa hata jitetea mbele ya hawa mabwana wajuaj wa sheria na mikataba,leo hii elim ya ki dot com,wanafunz had hisabat ni kutia tick tuu,leo hii biashara za networkin,mara foreva mara D9,mara desi ndo zmejaa africa..wazungu wale walifanya mapinduz makubwa kwenye kilimo na viwanda,leo wapo vile,sio uchaw,.