Africa a failed continent | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Africa a failed continent

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mtoto wa Mkulima, Mar 17, 2008.

 1. Mtoto wa Mkulima

  Mtoto wa Mkulima JF-Expert Member

  #1
  Mar 17, 2008
  Joined: Apr 12, 2007
  Messages: 687
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Hii kitu nimeipokea kwa e mail nyie mnasemaje? Imekaa kama vile imeandikwa na black ili kuwapa watu hasira.

  .
   
 2. M

  Mwakilishi JF-Expert Member

  #2
  Mar 17, 2008
  Joined: Jan 31, 2007
  Messages: 484
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  What else is new!
   
 3. Kisura

  Kisura JF-Expert Member

  #3
  Mar 17, 2008
  Joined: Jun 21, 2007
  Messages: 363
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Nothing new, just perpetuating the circle.
   
 4. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #4
  Mar 18, 2008
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  Hakuna kuna mpya
  huo ndio ukweli lazima tuukubali ukweli
   
 5. Richard

  Richard JF-Expert Member

  #5
  Mar 18, 2008
  Joined: Oct 23, 2006
  Messages: 8,253
  Likes Received: 4,276
  Trophy Points: 280
  Mkuu lakini mbona huyu mwandishi hajatoa mawazo yake nini kifanzike?

  Au nae anajaribu za akina Carl Peters au waokotezaji wengine.

  Hawa jamaa wote (kama kweli yeye ni mzungu) wanaokwenda Afrika iwe ni NGO au Charity au researchers na midubwana mingine ni wale wenye moyo wa utapeli na ujambazi na ndio wanakuja barani humu kuleta mizozo na kuvuruga viongozi wetu.

  Wanakuja kuchunguza na ku-report back yale wayaonayo na akicheka na wewe na ukigeuka uende yeye anakucheka.

  Nnafanza research kujua kama ni kweli Afrika kuna makabila teule ya kutawala bara hilo amabyo yalikwishateuliwa kabla ya uhuru.

  Mengine yanajulikana.
   
 6. Masanja

  Masanja JF-Expert Member

  #6
  Mar 18, 2008
  Joined: Aug 1, 2007
  Messages: 3,595
  Likes Received: 3,763
  Trophy Points: 280
  Tuache kuwa apologetic! hapo yote ni UKWELI NA UKWELI TUPU!

  If you happen to think otherwise, I respect that. But we have proved to be a bunch of hopeless creatures/race on this planet. How do you explain whats going on in Africa and Tanzania especially?

  Yes, Iam a Tanzanian and a very proud African. But unless and until we contradict FACTUALLY the likes of Petersons and Watsons and co...we are forever doomed.

  Honestly, it pains, but there are things which happen on this planet but only in Africa! Its the only continent you hear the Minister signing a critical contracts for the survival of the nation in a restaurant ABROAD! Its the only continent you pay the investor and give him capital to invest on your continent! Its the continent you buy arms and let your people die for lack of panadol, its the only continent the ministry uses half of the budget to buy cars and service them at the expense of wananchi, its the only continent fighting opposition must be paid by donors for them to talk peace!!... Kama siyo conformation ya Dr. Watson ni nini?

  I honourably say Dr. Watson was right about our race. We should stop crying...ohh ni yale yale ya siku zote, stereo types, wanatuonea, wana prejudice....and on and on...Facts dont lie! And facts are there to see for all of us! Black and white.

  Hey wait a minute..."ni yale yale ya siku zote"..but guess what wanaokufa ni watu tofauti kila siku! which makes this argument relevant kila kukicha!

  Some of us might be "elites" who went to the best Universities..around... but who are drawning Africa to its knees? is it peasants in the villages?...Ohh yes, you guessed right!!
   
 7. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #7
  Mar 18, 2008
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Kama ni kweli tukitaka kujitoa kwenye umaskini huu unaotufanywa tudhalilishwe hata na wengine ambao hawastahili kutudharau, basi tunatakiwa tukubali ujinga huu. MImi ni mbishi sana kukubali ujinga wa eti sisi maskini eti nchi yetu maskini. NO, nchi yetu sio maskini. Ila umaskini wetu sisi watanzania(sio nchi yetu) unatokana na mismanagement ya uchumi, ubinafsi na rushwa. Haya yakiisha tanzania ndio at least inaweza kupiga hatua mbili mbele, sasa hivi siasa za kudanganya watu zitaendelea na hakutakuwa na mabadiliko ya kwena mbelea, badala yake yatakuwa ni yaleyale ya kurudi nyuma!
   
 8. Mtoto wa Mkulima

  Mtoto wa Mkulima JF-Expert Member

  #8
  Mar 18, 2008
  Joined: Apr 12, 2007
  Messages: 687
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
 9. Nkamangi

  Nkamangi JF-Expert Member

  #9
  Mar 18, 2008
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 642
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  The author has some point but he's either a racist white supremacist or a brai-washed african brother. Kuna maneno anatumia yakibaguzi kabisa. Tuamke tujisaidie
   
 10. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #10
  Mar 18, 2008
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Hayo matatizo ya mismanagement ya uchumi, ubinafsi, ufisadi na rushwa yataishaje? Maana ni baadhi ya matatizo ambayo tumeshayaainisha kwa muda mrefu sasa! Yataishaje?

  Binafsi nashauri mfumo mzima wa endeshaji wa nchi yetu unatakiwa kuangaliwa upya. Hii ni pamoja na kuwa na marekebisho ya Katiba. Historia inaonyesha mabadiliko katiaka nchi zote duniania zilizopitia kwenye kipindi kama hiki tulichonacho sisi cha mafisadi na wezi wa mali ya umma, mapungufu katika utawala wa sheria na kadhalika, yaliletwa na watu weneyewe (mass uprising).

  Hivi leo hii kweli kama watuhumiwa wa ufisadi wanaosababisha maisha ya Watanzania kuwa ya tabu kila kukicha, wangefikishwa mahakamani na kupatikana na hatia, halafu sheria ya nchi ikawa ni kupigwa risasi hadharani wakafa, unadhani ni nani mwingine angethubutu kuiba mali ya umma? Sheria kali kama hizo zimewahi kuwepo Ujerumani, na kwa sasa zipo China. Hao hao tunaokwenda kuwaomba misaada.
   
 11. Masanja

  Masanja JF-Expert Member

  #11
  Mar 18, 2008
  Joined: Aug 1, 2007
  Messages: 3,595
  Likes Received: 3,763
  Trophy Points: 280
  Wala hata wasipopigwa risasi ila wawajibishwe bila woga wala fitna! Lakini wapi!

  Wananchi na sisi tuamke...na umaskini woooote huu bado tunaamini kwamba upinzani/hoja/mawazo mbadala ni vita! Ama kweli kazi tunayo! Why stick with an idea which has failed? Only in Africa! Unajua wengine watafikiri kwamba sisi tunalaumu tuu bila solutions! Hapana. Maana wote hatuwezi kuwa akina Karamagi (mawaziri), wengine tunawajibika kwa kulipa kodi na mengineyo. Lakini hizo kodi zinaishia kwa wachache...yaani its so frustrating hata kama ungeamua kuwa responsible citizen katika hizi nchi zetu, bado unaombwa rushwa na usumbufu kibao na mamlaka husika kama TRA na TANESCO!! Tutafika kweli?
   
 12. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #12
  Mar 18, 2008
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Sasa hilo la kuwawajibisha bila woga wala fitna ndio halitokei! Tufanyeje? Lazima tuwe watu we kutengeneza sera mbadala kwa ajili ya mustakabali wa Taifa letu. Tufanyeje? Niliwahi kuanzisha mada hapa ya "Tanzania Tunayoitaka". Sijui iliishia wapi!

  Nadhanni ipo haja sasa ya sisi wana JF kukusanya mawazo yetu katika mada mbali mbali na angalau kutoa mapendekezo yetu kwa Taifa kama Watanzania. Tusiishie kulaumu tu na kupiga kelele kila siku.
   
 13. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #13
  Mar 18, 2008
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  source of ur quote?
   
 14. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #14
  Mar 18, 2008
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  Mimi nikija kwenu nikakukosesha wewe na ndugu zako mkapigana mwisho mkapatana na mkatambua mimi ndio nyoka niliowakosesha.Baada ya mda nikarudi tena nikawakosesha mkapigana mkapatana mkatambua mie ndiye ninayewakosesha. Nikarudi tena nikawakosesha mkabeba mapanga na mikuki yenu mkauana mlio salia mkapatana mkagundua mie ndiye mbaya ,nikarudi tena nikawakoseha

  AAAAAAAH hii lazima Jirani zenu wakili jinsi gani mlivyo na uwezo mdogo wa kufikiri Nami kama ni mmoja wa familia lazima nikubali nipo mjinga wa kutosha.

  Yani nimuibia mali zake jamaa mmoja mara ya kwanza na atambue ni mimi nirudi tena kwa staili ile ile nimuibie tena ,nirudi tena nimuibie na tena na tena kwa staili ile ile Na mwisho nikimuita mjinga usikubali?? Najua hatakubali kua ni mjinga kwa sababu mjinga hawezi tambua kama yeye ni mjinga

  Uadirifu/ujua/umakini hua haupimwi kwa maneno na mbwebwe nyingi ila ni kwa matendo yake tu full stop!!!

  Uadirifu wetu upo pale JMK anapoiba kura basi waadirifu hubeba mapanga yao nakuja kwa Mkama kumchomea kibanda chake na kumchoma mishale kadhaa na mapanga juu pia kuwaweka vichanga ktk vinu na kuwatwanga kwa mwichi.

  Asalale!!!!!!! sasa mimi nahusika vipi na wizi huo au kwa vile jina langu laanzia na M kama muiba kura?? ama kwa vile tunatoka kijiji kimoja?? kwanini mimi niwe victims??masikini nisiojua lolote mtoto atiwa moto ,mtoto aiyejua hili wala lile.

  Hata ufisadi huo si tamaa tu kama watu tunavyojaribu kuukwepesha bali ni matokeo ya IQ ndogo,kuna wizi ambao ni acceptable mfano jamaa umebanwa na njaa hana jinsi .Lakini mtu ni RAIS/waziri mkuu anabenefits hadi kufa kwake bado anafisadi mabilioni ya fedha hiyo ni IQ ndogo na hii kwanini itokee tu AFRIKA?? tena kwa nchi zenye watu weusi????
   
 15. k

  kamtu Member

  #15
  Mar 18, 2008
  Joined: Mar 12, 2008
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Thats why he says why dont we stop them?
   
 16. Kisura

  Kisura JF-Expert Member

  #16
  Mar 18, 2008
  Joined: Jun 21, 2007
  Messages: 363
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Ukweli unajulikana na wote tunaujua. Hii article haiongezi wala kupunguza kitu. I don't disagree; I'm insisting, there is nothing we don't already know--WaAfrika wenyewe tuko mstari wa mbele perpertuating the very circle!
   
Loading...