Afisa wa RITA kasababisha taharuki kwenye ndoa za watu

wankuru nyankuru

JF-Expert Member
Feb 11, 2019
490
763
Hivi watalaam hii imekaaje ?

Kwenye makundi ya sogozi mambo si mambo!

Tunaomba serikali au waziri mwenye dhamana alitoletee tamko hili swala na sio huyo afisa wa Rita kutuletea stress zake kwenye ndoa zetu.
IMG-20200130-WA0002.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi watalaam hii imekaaje ?

Kwenye makundi ya sogozi mambo si mambo!

Tunaomba serikali au waziri mwenye dhamana alitoletee tamko hili swala na sio huyo afisa wa Rita kutuletea stress zake kwenye ndoa zetu.View attachment 1341334

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi hapo hilo neno "wasimamizi" limetumika kumaanisha wanaofungisha ndoa au wale wasimamizi (akina best man) wa ndoa?

I moved your cheese!
 
Uzembe wafanye wao halafu waseme ndoa za watu ni batili labda ndoa za bomani ndio batili kwa kukosa hiyo nembo.

Ndoa zetu tunafunga kwa imani za kidini sio kwa ajili ya nembo

Kama walikuwa wanajua kuna watu wanafungisha bila kusajiliwa nani alaumiwe kama sio wao?

Yaani hawa wasimamizi wa hivi vitu vya kijamii sijui huwa wanaokotwa wapi hawa au ndio jalalani!

Wasituvurugie ndoa zetu kama wameona mradi mpya huu wangekuja kivingine na sio tamko la kukurupuka namna hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.

SISI TUNAFUNGA NDOA KWA UTARATIBU ALIOTUAGIZA MUNGU SIO SEREKALI. LAKINI PIA KTK DINI, KUNA TAASISI ZAKE AMBAZO ZIMESAJILIWA SEREKALINI AMBAZO NDIYO MAWAKALA WA KATI YA SEREKALI NA WAUMINI. HIVYO KILA KITU KIPO CLEAR HAKUNA UVUNJUFU WOWOTE KIIMANI.
 
Back
Top Bottom