Afisa Wa NEMC Apigwa na kujeruhiwa Vibaya huku askari wakipokonywa silaha huko machimbo mbweni-Tegeta

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,279
21,396
Moja Wa mashuhuda anasimulia!
" Mnamo Majira ya asubuhi tarehe 9 July (Jana) Afisa mmoja ambaye inasadikiwa alikuwa mfanyakazi Wa Nemc, Alichukua askari wawili ili wafike eneo la machimbo huko mbweni kwa ajili ya ukamataji zidi ya uharibifu Wa mazingira;

Kutokana na Utaratibu wa mtu huyo hufika maeneo ya machimbo mbalimbali kukamata watu na kuwatoza faini hadi Tshs 2mil kila wanapokamata.

Kwa mazingira hayo walimfahamu, Jana kama kawaida Afisa Huyo alifika kwa ajili ya ukamataji akiwa na askari (haijulikani aliwapata askari kwa utaratibu gani).

Walipofika Eneo hilo na wale jamaa wakiendelea na upakiaji, walimfuata na kumwomba wasogee pembeni kwa ajili ya majadiriano ya pesa, Baadhi ya Wapakiaji walizunguka kwa nyuma na kuwakuta askari wamekaa na siraha zao wakiwa wameweka mapajani, Inasimuliwa wale askari walichapwa fimbo ya mgongo kwa kushtuka wakazitupa siraha ndipo walejamaa wapakizi wakaziwahi kuzichukua.

Baada ya siraha kuchukuliwa wale wapakizi waliwaambia askari Watulie, hawana nia mbaya, wao shida yao walimtaka hao maofisa Wa Nemc wanaowakamata kila siku! ndipo walipoanza kumcharaza yule Afisa wa nemc kwa fimbo na machepe, Baada ya tukio hilo wale wapakizi waliwaambia wale askari wasogee mbali ili wawape siraha zao, Baada ya askari kusogea mbali waliwaachia siraha na kutokomea.

Baada ya maafisa Wa Nemc kupata taarifa walidai Huyo leo kawatoroka hakuwapa taarifa pia ni afisa ambaye alikuwa mfanyakazi Wa Nemc ambaye hayupo kazini kwa sasa!

Wenye Taarifa zaidi kuhusu tukio hili mnaweza kutusaidia zaidi
 
Kutokana na Utaratibu huo, mtu huyo hufika maeneo ya machimbo mbalimbali kukamata na watu na kuwatoa faini hadi Tshs 2mil kila wanapokamata.
Kwa mazingira hayo, Jana kama kawaida Afisa Huyo alifika kwa ajili ya ukamataji akiwa na askari (haijulikani aliwapata askari kwa utaratibu gani).
Walipofika Eneo hilo na wale jamaa wakiendelea na upakiaji, walimfuata na kumwomba wasogee pembeni kwa ajili ya majadiriano ya pesa, Baadhi ya Wapakiaji walizunguka kwa nyuma na kuwakuta askari wamekaa na siraha zao wakiwa wameweka mapajani, Inasimuliwa wale askari walichapwa fimbo ya mgongo wakazitupa siraha ndipo walejamaa wapakizi wakaziwahi kuzichukua.
Baada ya siraha kuchukuliwa wale wapakizi waliwaambia askari Watulie, hawana nia mbaya, wao shida yao walimta hao maofisa Wa Nemc wanaowakamata kila siku! ndipo walipoanza kumcharaza yule Afisa kwa fimbo na machepe, Baada ya tukio hilo wale askari wasogee mbali ili wawape siraha zao, Baada ya askari kusogea mbali waliwaachia siraha na kutokomea.
Baada ya maafisa Wa Nemc kupata taarifa walidai Huyo leo kawatoroka hakuwapa taarifa pia ni afisa ambaye alikuwa mfanyakazi Wa Nemc ambaye hayupo kazini kwa sasa!

Wenye Taarifa zaidi kuhusu tukio hili mnaweza kutusaidia zaidi

yule mvaa raba na kaunda za bendera hamepata taarifa za watoto wake
 
yajayo yanasikitisha hao askari ni Wa kituo gani? Kila mtu anakula sehemu yake ya kazi, hiyo faini ya million 2 ipo hapahpa bongo au mie mgeni,,,?
 
Askari apolwe silaha kwa kupigwa arudishiwe tena siraha atulie kabisa za kuambiwa changanya na zako Mkuu.

HILI LINAWEZEKANA KABISA, INAWEZEKANA WAMEOKOTANA BARABARABANI NA HUYO OFFICER NA WALIKUWA WANAPIGA DEAL, UNGEJUA UTARATIBU WA KESI ZA POLICE HASA KIPINDI HIKI UNGEELEWA
 
taarifa za awali zinaashilia hivo wale askari huenda hawakupangiwa kazi hiyo, Ingawa sio sababu maana kazi yao ni kukamata popote
 
Moja Wa mashuhuda anasimulia!
" Mnamo Majira ya asubuhi tarehe 9 July (Jana) Afisa mmoja ambaye inasadikiwa alikuwa mfanyakazi Wa Nemc, Alichukua askari wawili ili wafike eneo la machimbo huko mbweni kwa ajili ya ukamataji zidi ya uharibifu Wa mazingira;

Kutokana na Utaratibu wa mtu huyo hufika maeneo ya machimbo mbalimbali kukamata watu na kuwatoza faini hadi Tshs 2mil kila wanapokamata.
Kwa mazingira hayo walimfahamu, Jana kama kawaida Afisa Huyo alifika kwa ajili ya ukamataji akiwa na askari (haijulikani aliwapata askari kwa utaratibu gani).
Walipofika Eneo hilo na wale jamaa wakiendelea na upakiaji, walimfuata na kumwomba wasogee pembeni kwa ajili ya majadiriano ya pesa, Baadhi ya Wapakiaji walizunguka kwa nyuma na kuwakuta askari wamekaa na siraha zao wakiwa wameweka mapajani, Inasimuliwa wale askari walichapwa fimbo ya mgongo kwa kushtuka wakazitupa siraha ndipo walejamaa wapakizi wakaziwahi kuzichukua.
Baada ya siraha kuchukuliwa wale wapakizi waliwaambia askari Watulie, hawana nia mbaya, wao shida yao walimtaka hao maofisa Wa Nemc wanaowakamata kila siku! ndipo walipoanza kumcharaza yule Afisa wa nemc kwa fimbo na machepe, Baada ya tukio hilo wale wapakizi waliwaambia wale askari wasogee mbali ili wawape siraha zao, Baada ya askari kusogea mbali waliwaachia siraha na kutokomea.
Baada ya maafisa Wa Nemc kupata taarifa walidai Huyo leo kawatoroka hakuwapa taarifa pia ni afisa ambaye alikuwa mfanyakazi Wa Nemc ambaye hayupo kazini kwa sasa!

Wenye Taarifa zaidi kuhusu tukio hili mnaweza kutusaidia zaidi
Story bila picha hainogi aiseee
 
Safi sana.wamezoea kuonea watu hao nemc. hawajui machimbo yanalisha watu na familia zao.
 
Back
Top Bottom