amakyasya
JF-Expert Member
- Jun 26, 2013
- 3,480
- 907
Wana JF;
Afisa utumishi wa wilaya ya Ilemela amefikishwa mahakamani leo kwa tuhuma ya kuomba rushwa ya ngono kwa mwalimu aliyekuwa anahitaji uhamisho. Source Star Tv.
Hivi hizi rushwa za staili tofauti tofauti mahali mbalimbali pa kazi na sehemu za kupata huduma za kijamii zitaishaishaje wakuu?