Afisa Usalama (Hemed Sabura) na Afisa Utawala (Benson Mramba) wa CHADEMA wanashikiliiwa na Polisi

May 5, 2014
92
45
Maafisa tajwa hapo juu wanashikiliwa na polisi Makao Makuu Kanda maalum ya Dar es salaam kwa Kova.

Aidha Diwani wa Ubungo Mh. Jackob Boniface na Mlinzi wa Mh. Mbowe anajulikana kwa jina Moja la SWAI wanatafutwa pia na polisi.

Hao Maafisa pamoja na mlinzi huyo Swai akiwepo na diwani wa Ubungo ndiyo waliofanya mahojiano na aliyekuwa mlinzi wa Katibu Mkuu Dr Slaa bwana Kagenzi ambaye baada ya kuhojiwa kwa kina alikiri kuwa, alikuwa anamfanyia udukuzi wa habari na pia kula njama na maafisa usalama wa taifa za kutaka kumuua Katibu Mkuu huyo.

Hivyo basi yawezekana hawa watu wanashikiliwa ili waisaidie polisi katika ufuatiliaji wa jambo hilo.
 
Kama sio mkaskazin, ukitamani nafasi kubwa kama alivyotamani uenyekiti zito zuberi kabwe wana ku zito kabwe faster

Kwenye shirika lolote...Afisa Utawala...na Mkurugenzi wa Pesa ndio mzizi wa kila kitu.

Mbowe hajabahatisha kuwaweka hao...ni msingi uleule wa chama chetu.
 
Back
Top Bottom