Afisa uhamiaji Mwanza aliyenusurika kuuawa na polisi ashambuliwa kwa nondo!

Ninachojua Muosha naye huoshwa.

Huyu ofisa uhamiaji Albert Buchafwe naye aliwahi kukumbwa na kashfa kama hiyo anayomtuhumu huyo Askari huko wilayani Geita ambapo alikamatwa akiwa na mke wa mtu na alifanyiwa matendo mabaya sana si vyema sana kuyasema humu ndani!,

Na historia yake inaonyesha kwamba naye ni mwingi wa habari na hasa kasha za wake wa watu anazo sana hilo hata yeye analijua,na kama ana kesi ya kutalikiana na huyo mwanamke basi atakuwa ni mke wa tatu kufanya hivyo.

Aliwahi kumtolea bastola askari mmoja wa Geita baada ya kumtuhumu kwamba anatembea na mkewe na miwsho wa siku aliachana na mkewe huyo na kuoa mke mwingine,baadaye tena taarifa zinasema alioa mke mwingine ambaye taarifa zinadai waliachana sasa huyu tena wana kesi ya kutalikiana,hii ni hatari.

Ni mtu ambaye hajatulia anapenda sana chini na kesi zake nyingi yeye ni hizo za wanawake tu,sasa atambue kwamba ukizoea kula vya wenzako ujue na vyako vinaliwa ama vitaliwa,na hata kashfa iliyopelekea akahamishiwa mwanza ni baada ya kukamatwa ugoni na jamaa moja ambalo lilikuwa likifanya kazi kwenye shirika moja linalotengeneza matairi ya magari.

Ingawa jamaa alimfanyia kitu mbaya sana iliyosababisha aombe uhamisho kwenda mwanza hata yeye anajua hilo.

Kumbe eeeh!!! Kweli usilolijua ni kama usiku wa kiza! Na kweli inzi hufia kidondani!!
 
Alipigwa na kitu kizito!!! Tume nyingine iundwe kuchunguza!!!

mi nadhani alisimama chini ya mnazi akaangukiwa na koroma, si ndiyo jamani!, kwanza nondo ni ndefu, sasa mtu ataibebaje kisha ampigenayo mtu mwingine?!،
 
kunani ndani ya jeshi la polisi na uhamiaji mwanza? km ni wanawake mbona wapo wengi tu jamani,ya nini kutoana roho kikatili hivyo?
 
matongo manawa

Hivi nitakuwa ninakosa kama nikitilia mashaka ukweli wa hii habari ?, tangu useme utakuja kuleta habari zaidi ni masaa yamepita na hakuna sehemu nyingine yoyote ambapo hii habari imesikika, unaweza uka-confirm ukweli wa habari hii au kama ulipotoka unaweza ukaweka sawa ili watu wasiendelee kupotoka...

Ni ombi tu mkuu
 
Last edited by a moderator:
Ninachojua Muosha naye huoshwa. Huyu ofisa uhamiaji Albert Buchafwe naye aliwahi kukumbwa na kashfa kama hiyo anayomtuhumu huyo Askari huko wilayani Geita ambapo alikamatwa akiwa na mke wa mtu na alifanyiwa matendo mabaya sana si vyema sana kuyasema humu ndani!, Na historia yake inaonyesha kwamba naye ni mwingi wa habari na hasa kasha za wake wa watu anazo sana hilo hata yeye analijua,na kama ana kesi ya kutalikiana na huyo mwanamke basi atakuwa ni mke wa tatu kufanya hivyo. Aliwahi kumtolea bastola askari mmoja wa Geita baada ya kumtuhumu kwamba anatembea na mkewe na miwsho wa siku aliachana na mkewe huyo na kuoa mke mwingine,baadaye tena taarifa zinasema alioa mke mwingine ambaye taarifa zinadai waliachana sasa huyu tena wana kesi ya kutalikiana,hii ni hatari. Ni mtu ambaye hajatulia anapenda sana chini na kesi zake nyingi yeye ni hizo za wanawake tu,sasa atambue kwamba ukizoea kula vya wenzako ujue na vyako vinaliwa ama vitaliwa,
ngoma droo
 
Nasikia harufu ya MH. L. MashaURI kushinda kiti NECO na kutaka kurudi mjengoni 2015. Dizaini flani ya paving the way!!! All against him should be long gone before 2015.!! Marehemu alikuwa kikwazo kikubwa sana kwake!!! Anyway jst my thoughts. Kama ningekuwa Wenjewe i will double my preacautions.
 
matongo manawa Hivi nitakuwa ninakosa kama nikitilia mashaka ukweli wa hii habari ?, tangu useme utakuja kuleta habari zaidi ni masaa yamepita na hakuna sehemu nyingine yoyote ambapo hii habari imesikika, unaweza uka-confirm ukweli wa habari hii au kama ulipotoka unaweza ukaweka sawa ili watu wasiendelee kupotoka... Ni ombi tu mkuu
toka jana nilitilia mashaka habari hii kwa sababu zifuatazo 1.Tukio limetokea usiku wa kuamkia jana lakini ameleta habari mida ya jana jioni...2.huyu ni mtu mkubwa serikalini tukio la kupigwa kwake hadi jana jioni lazma lingeripotiwa na vyombo vingine vya habari....3.mleta mada hajaeleza kwa kina taarifa hizi kazipata wapi na hakuna mchangiaji mwingine aliyethibitisha.
 
Last edited by a moderator:
Habari nilizozipata punde ni kwamba Yule afisa uhamiaji aliyekoswa koswa na kijana wa marehemu Barlow kwa risasi, usiku wa kuamkia leo alishambuliwa na watu wasiokulikana na kupigwa nondo kichwani.

Afisa huyo kwa sasa amelazwa ktk hosp ya Bugando na Hali yake si nzuri sana.

Ikimbukwe kwamba juzi baada ya kunisurika kuuawa alimtupia lawama afisa wa polisi Abuu kuhusika na mipango Ya kumwua kutokana na kuwa na mahusiano yasiyofaa na mke wake hali iliyopelekea kuwa na Kesi ya kutalakiana.

Lakini pia ikumbukwe kwamba baada ya kulituhumu jeshi La polisi, kamanda Barlow Alipinga na kukanusha tuhuma hizo kwa nguvu zote akidai kuwa aliingia kwenye mtego wa Polisi muda ule ule na gari lile.

Kamanda Barlow aliuawa jana majambazi kwa kupigwa risasi alipokuwa akimrudisha nyumbani dada yake wakitokea kwenye kikao cha harusi Kati ya saa saba na saa nane usiku.

Nitawajuza zaidi.
Hapo kwenye RED taarifa zilizopo hakuwa na dada yake bali mpenzi wa siri, na unaposema kikao cha harusi saa 7 - 8 una uhakika na hilo tangu lini vikao vya harusi vikafanyika hadi kufikia masaa hayo? TAFAKARI CHUKUA HATUA!
 
life come,life go from generation to generation.The time will tell for all of us to die whether in vain or by reason of almight GOD to teach the rest some lessons.
 
Dah,ngoma inogile wacha tusubiri mwisho wa siku pumba na mchele vitajulikana tu
 
Nasikia harufu ya MH. L. MashaURI kushinda kiti NECO na kutaka kurudi mjengoni 2015. Dizaini flani ya paving the way!!! All against him should be long gone before 2015.!! Marehemu alikuwa kikwazo kikubwa sana kwake!!! Anyway jst my thoughts. Kama ningekuwa Wenjewe i will double my preacautions.

Labda auwe wapenzi na wanachama wote wa cdm hapa Mwanza,maana ni wengi kuliko wana ccm,lakini kutoa roho za baadhi tu ya watu haimsaidii
 
Huyo afisa uhamiaji aliingia kwenye mtego wa polisi akanusurika kuuwa kwa mujibu wa marehemu Barlow, marehemu Barlow naye kaingia kwenye mtego wa majambazi but he was less fortunate! R.I.P Kamanda Barlow. Kila muosha huoshwa.
Jamaa aliposimamishwa alijitambulisha...sasa kama walifananisha gari lakini ikawa siyo mhusika why shoot out...mungu hadhihakiwai ndo maana kamanda kUli imememrudia
..alichukulia maish ya mtu kitu rahiiisi sana
 
Maafisa usalama hebu lishughurikieni jambo hili la Mwanza na matukio mengine kwa umakini vinginevyo ni aibu kwa system nzima.

jamani nashindwa kuelewa hivi huko mwanza kunanini? na jesh la polis linafanya nini? yaani watu wanauana wanaumizana tena kwa kisasi halafu nobody cares yumkin huyu mwanamke alikua ni hawara wa huyu bwana lol!
 
huyu mtoto wa kama nda marlow lait angejua kwamba mtutu uo anaoulekeza kwa huyu bwana ungetumika wa aina hiyo kumuua baba yake angerudi ndani na kutubu............yaani hakuna utakachofanya kwa dhuluma upone
 
Back
Top Bottom