Afisa ugavi TEMESA ashtakiwa kwa kutaka kulipua ofisi

Tatizo hapo no kabila lake amekumbahili una milioni mia sita kuwapa walinzi milioni hamsini unaona watafaidi haya nenda kazilie buguruni polisi na kwingineko...hapa akipata mwanasheri mzuri Hanna kesi kwa anayejuwa mwambieni tuwasiliane.
 
Recho msangi alihusika kwa asilimia mia moja mkuu. Kwa sababu yeye alikuwa wa mwisho kutoka ofsin. Na kama hausiki alikuja kufanya nini saa nane usiku? Na huyo meena mme wa recho alikuja kufanya nini ofisin kwa mke wake usiku? Wa saa nane? Mimi ninayeandika hii habari nina uhakika na ninachoandka. Nimefanya kazi hapo ofcn temesa vingungut kwa miaka zaid ya mitatu.nikiwa mfanyakaz wa kujitolea. Kwa hiyo nafaham jinsi huyu recho alivyo fisadi mkubwa hapo temesa. Wafanyakazi wa temesa wanamjua huyu dada. Kuwa ni mpigaji mkubwa. Aliwahi kufanya kaz makao.makuu temesa akppiga pesa akahamishiwa vingungut. Mtendaji mkùu wa temesa mama magesa anamlinda recho kwa nguv zote kwa sababu anazozijua ukiwemo ukabila. Pia kuna kigogo wizara ya ujenzi anaitwa dr. Mshama yeye pia ana mkingia kifua recho na inasemekana yeye ndiye aliyemweka hapo. Na ndiyo mana huyu dada anafanya ufisadi bila hof.
 
Rachel mtoto mrembo hatari......ugaidi umeanza lini kulipua majengo. Pole sana kwa urembo ulio nao hukustahili kutaabika kiasi hiki hadi kufikia kuwa gaidi na fisadi. So sad.
 
Recho msangi alihusika kwa asilimia mia moja mkuu. Kwa sababu yeye alikuwa wa mwisho kutoka ofsin. Na kama hausiki alikuja kufanya nini saa nane usiku? Na huyo meena mme wa recho alikuja kufanya nini ofisin kwa mke wake usiku? Wa saa nane? Mimi ninayeandika hii habari nina uhakika na ninachoandka. Nimefanya kazi hapo ofcn temesa vingungut kwa miaka zaid ya mitatu.nikiwa mfanyakaz wa kujitolea. Kwa hiyo nafaham jinsi huyu recho alivyo fisadi mkubwa hapo temesa. Wafanyakazi wa temesa wanamjua huyu dada. Kuwa ni mpigaji mkubwa. Aliwahi kufanya kaz makao.makuu temesa akppiga pesa akahamishiwa vingungut. Mtendaji mkùu wa temesa mama magesa anamlinda recho kwa nguv zote kwa sababu anazozijua ukiwemo ukabila. Pia kuna kigogo wizara ya ujenzi anaitwa dr. Mshama yeye pia ana mkingia kifua recho na inasemekana yeye ndiye aliyemweka hapo. Na ndiyo mana huyu dada anafanya ufisadi bila hof.

Acha wivi sasa, kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake
 
Hadithi yako ina harufu ya majungu. Kwani kila mtu akirudi ofisini ni lazima awe ametega bomu? Kama kuna kitu cha muhimu alisahau, asirudi? Kama alitega bomu sasa alikuwa anakwenda kutegua ili iweje? Kuwa wa mwisho kutoka ofisni ni lazima uwe umetega bomu? Kila siku lazima atakuwepo mtu wa mwisho kutoka ofisini, lakini sio lazima uchunguze wenzako wameweka nini, bali unajishughulisha na kazi iliyokuchelewesha kutoka ofisini tu basi.
Recho msangi alihusika kwa asilimia mia moja mkuu. Kwa sababu yeye alikuwa wa mwisho kutoka ofsin. Na kama hausiki alikuja kufanya nini saa nane usiku? Na huyo meena mme wa recho alikuja kufanya nini ofisin kwa mke wake usiku? Wa saa nane? Mimi ninayeandika hii habari nina uhakika na ninachoandka. Nimefanya kazi hapo ofcn temesa vingungut kwa miaka zaid ya mitatu.nikiwa mfanyakaz wa kujitolea. Kwa hiyo nafaham jinsi huyu recho alivyo fisadi mkubwa hapo temesa. Wafanyakazi wa temesa wanamjua huyu dada. Kuwa ni mpigaji mkubwa. Aliwahi kufanya kaz makao.makuu temesa akppiga pesa akahamishiwa vingungut. Mtendaji mkùu wa temesa mama magesa anamlinda recho kwa nguv zote kwa sababu anazozijua ukiwemo ukabila. Pia kuna kigogo wizara ya ujenzi anaitwa dr. Mshama yeye pia ana mkingia kifua recho na inasemekana yeye ndiye aliyemweka hapo. Na ndiyo mana huyu dada anafanya ufisadi bila hof.
 
Ushahidi wa uwizi wa Afisa ugavi unakaa ofisi ya Mhasibu?

We sasa inakubidi uanzishe thread nyigine.Inamaana hujui tofauti ya mahesabu na Mhasibu mpaka leo!
Mfumo wa utunzanji mahesabu "Kuna mabantulile 10 kwenye stoo,zimetumika tatu.baki ni saba"
 
Nimekuambia mimi nimefanya naye kaz hapa ofcn. Ni kwamba afisa ugav yey ndiye anapokea spea ambazo watu wamepeleka anasain delivery note na kuandaa bill kwa ajili ya kumkabidhi mwasibu. Sasa wakat mwingine anampa mwasibu vitu vingne tofaut wazabun wanataka kulipwa pesa zao na document hakuna. Akaona akilipua karakana yote atakuwa.amepoteza ushahd.
 
Lakin yote haya ni kwa sababu kaletwa hapo na kigogo huyo wa wizara ya ujenz dr. Mshama. Sasa ni nani atamgusa kuhusu huu ufisadi? Utaona kesi imeisha hivi hiv na kuhamishwa kituo ili aendelee kupiga pesa. Na huku watoto wa maskin tukiendelea kutaabika. Make tangu ametoka polisi bugurun anaendelea kuripot ofcn kama kawaida. Labda waziri mwenyewe afuatilie hilo swala kwa manufaa ya umma
 
Tukio hilo hilo lau angefanya muislam, title ingebadilika, ingesema GAIDI LA KIKE LAKAMATWA BAADA YA JARIBIO LA KURIPUA OFISI KUFELI, mna nini nyieeee
 
magaidi wanalipua watu,yeye alikuwa anataka kupoteza ushahidi vitu viwil tofauti,ndio maana wachangiaji hawajishughulishi nae ,nchi hii kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake.
Katika akili yako,unafikiri huyu alichofanya sio ugaidi?
 
Hata angekuweka mngeenda kugawana huko segerea au ukomga Mungu anapoamua lake litatimia tuu
 
Afisa ugavi wa wakala wa ufundi na umeme ( TEMESA) iliyo chini ya wizara ya ujenzi, ofisi ya Reginal Manager Vingunguti anayeitwa Recho Msangi, amekamatwa akiwa ametega bomu pamoja na dumu la petroli kwenye ofisi ya mwasibu wa TEMESA Vingunguti kwa lengo la kulipua ofisi hiyo. Recho ambae ni sapply ofisa siku ya Jumapili.

Alibaki ofisini mpaka jioni na akachukua dumu la petroli na kuliweka ofisini kwa mwasibu wake na kutumbukiza uzi mwembambana kwenye hilo dumu. Kisha akautoa huo uzi na kuunganisha kwenye socket ya umeme kitaalam.

Akiwa na maana kuwa usiku pale penye soketi ya umeme pangetokea cheche na ule uzi ungewaka na ungeenda moja kwa moja mpaka kwenye lile dumu lenye petroli na moto ungelipuka.

Lakini kwa bahati nzuri ule moto uliwaka lakini haukufika kwenye dumu ili karakana ilipuke. Ndipo Recho bàada ya kuona imefika saa nane usiku bila mlipuko ndipo alipoamua kwenda hapo ofisini TEMESA Vingunguti akiwa na mume wake wakati huo ni saa tisa usiku.

Wakaanza kuwaomba walinzi wampe ufunguo Lakini walikataa kumpa lakini aliendelea kubembeleza mpaka asubuhi walipoingia watu wa usafi na ishu ikagundulika kwa walinzi na kupiga simu kwa mtendaji mkuu wa
TEMESA na mtendaji mkuu akaita polisi Buguruni wakamkamata Recho na kumpeleka polisi.

Inasemekana sababu ya kulipua ofisi amefanya ufisadi wa milion mia sita na hivyo alikuwa analipua hilo bomu kupoteza ushahidi.

afungwe miaka mingi iwe fundisho
 
Mpaka milioni mia sita zinaliwa na ushaidi unataka kupotezwa!Kuna shida kwenye mfumo wa utunzaji na mahesabu nchi hii.Tutafakari na tuchukue hatua.

atakuwa mtendaji mkuu anahusika tu ?? milioni 600 kwa tamesa si mchezo tunawafahamu hawa watendaji wakuuu wako makini sana iweje leo asijue kwa kiasi hicho?
 
Back
Top Bottom