Afisa uchaguzi Longido ahamishwa ghafla, kuletwa mwingine haraka

Taarifa za nyongeza ni Kwamba huyu Afisa Uchaguzi anaitwa Salekwa. Ameagizwa aachie kitengo, anapangiwe kazi nyingine katika halmashauri hiohiyo (bado hajapangiwa). Afisa mwingine ataletwa punde.
 
Ccm ni wezi na mafisadi, hapo wanajiandaa kuiba kura, wananchi tulinde kura zetu
 
Na ikifika siku ya uchaguzi, IGP, RPC, RC, DC, Katibu mkuu wa sisiem, jeshi lote la polisi kanda ya kaskazini, magari 300 ya washawasha yatakuwa huko. Lazma sisiem ishinde kwa kishindo. Mnabisha?
 
Na ikifika siku ya uchaguzi, IGP, RPC, RC, DC, Katibu mkuu wa sisiem, jeshi lote la polisi kanda ya kaskazini, magari 300 ya washawasha yatakuwa huko. Lazma sisiem ishinde kwa kishindo. Mnabisha?

Mie nadhani nia ya JPM hataki upinzani,afanye kitu rahisi sana,aseme hataki upinzani mpaka kipindi chake kiishe period.HAo walioko Bungeni waondolewe achague wa CCM,maana sana naona upumbavu tu hakuna cha maana hapo
 
Back
Top Bottom