Afisa mstaafu wa JWTZ amiliki Tsh 50 bn nje | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Afisa mstaafu wa JWTZ amiliki Tsh 50 bn nje

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Wimana, Oct 1, 2012.

 1. W

  Wimana JF-Expert Member

  #1
  Oct 1, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 2,453
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 145
  Mh Zitto Kabwe amekaririwa na Gazeti la Mwananchi la 01 Okt kuwa katika yale matrilioni ya pesa zinazomilikwa na vigogo kwenye akaunti zao nje ya nchi, mmojawao ni Afisa wa JW TZ mstaafu.

  Huyo mzee lazima atakuwa 60 + yrs, atazifanyia nini pesa hizo alizotuibia ktk umri huo? Anawatafutia laana tu watoto na wajukuu zake watakaorithi mapesa hayo!

  Kuna kigogo mmoja wa JW TZ aliyestaafu hivi karibuni, alituhumiwa humu JF kuwa amepokea mabilioni kwa ajili ya Askari waliopo UN mission nje na kuhifadhi nje.
   
 2. mkonowapaka

  mkonowapaka JF-Expert Member

  #2
  Oct 1, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 1,483
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  na zito yeye alisema za kwake zimefikia ngapi now?
   
 3. Malafyale

  Malafyale JF-Expert Member

  #3
  Oct 1, 2012
  Joined: Aug 11, 2008
  Messages: 11,214
  Likes Received: 3,626
  Trophy Points: 280
  Luten-General(mstaafu)Shimbo ndiyo mwenye hizo hela au?
   
 4. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #4
  Oct 1, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,861
  Trophy Points: 280
  Shimbo-ni-Shafo
   
 5. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #5
  Oct 1, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Luteni Generali Abrahmam Shimbo
   
 6. Moshe Dayan

  Moshe Dayan JF-Expert Member

  #6
  Oct 1, 2012
  Joined: Feb 10, 2008
  Messages: 811
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  aiseeee!!
   
 7. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #7
  Oct 1, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kwani kuna mwingine zaidi ya Shimbo!:rockon:
   
 8. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #8
  Oct 1, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Napita tu kwanza. Nitarudi baadae.
   
 9. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #9
  Oct 1, 2012
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Mtaje basi huyo kigogo? Habari nyingine heading kubwa halafu content hamna.
   
 10. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #10
  Oct 1, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,655
  Likes Received: 4,755
  Trophy Points: 280
  Siyo za kwake zote, hapo kuna mgao wa best wake baba mwanaasha.
   
 11. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #11
  Oct 1, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Atakuwa general Mbowe ndo anaweza akawa napesa hizo
   
 12. m

  mamajack JF-Expert Member

  #12
  Oct 1, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Shimbo*100
   
 13. Mkwawa

  Mkwawa JF-Expert Member

  #13
  Oct 1, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 195
  Trophy Points: 160
  Ikiwa ni mara kadhaa sasa ZZT akisema atawataja waliotuibia fedha zetu na kuzificha nje bila kuwataja, nashindwa kuelewa ni nini kinamzuia kuwataja. Kusubiria eti serikali kunasiku itawashughulikia wezi hao wakati serikali ya CCM ndio mwizi ni kucheza cheusi chekundu.

  Tunataka mwembe yanga sio kutishia nyau. Weka majina hadharani tuyumbe na wezi wetu kama wale wa redio na adhabu za kimila. Kama unaogopa kurushwa majina hadharani nayaomba mimi nikusaidie kuyaweka hadharani.

  Chief Mkwawa wa Kalenga
  Niliuwawa na wajerumani ili muishi huru
   
 14. meeku

  meeku JF-Expert Member

  #14
  Oct 1, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 571
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Pimbi!!!!!! shimbo
   
 15. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #15
  Oct 1, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Bado mnakuwa na Imani na huyo source mnafiki na hilo gazeti lake? kama yeye nae si muhusika kwa nini asimtaje direct, kutwa kuna mtu kuna mtu, that why I admire Dr.Slaa
   
 16. K

  Kifarutz JF-Expert Member

  #16
  Oct 1, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 1,695
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Bado tupo kwenye zile enzi ya kulindana? Why wasting time na majina like kigogo mmoja wa JW TZ aliyestaafu? Hit the nail on top, mofuk.
   
 17. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #17
  Oct 1, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,936
  Likes Received: 673
  Trophy Points: 280
  haa haaa haaaaa
   
 18. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #18
  Oct 1, 2012
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Yeye zake alizopewa na chama cha magamba zimefika ngapi?
   
 19. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #19
  Oct 1, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Ina maaana hakuna msafi?

  Zitto alitaja au naye anazunguka tu mbuyu?
   
 20. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #20
  Oct 1, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu kale kasheria kandamizi kanaweza kumkandamiza mtu!!!
   
Loading...