Afisa Misitu Daraja la II Mkoa Wa Shinyanga

Jamii Opportunities

JF-Expert Member
Feb 10, 2014
4,432
1,387
POST: AFISA MISITU DARAJA LA II – 1 POST
POST CATEGORY(S): FARMING AND AGRIBUSINESS
EMPLOYER: Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga
APPLICATION TIMELINE: 2021-05-07 2021-05-19
JOB SUMMARY NA

DUTIES AND RESPONSIBILITIES
  • Kusimamia upandaji na uhudumiaji wa miti na misitu
  • Kusimamia uendelezaji wa misitu ya kupandwa isiyozidi hekta 5,000 au ya asili isiyozidi hekta 10,000
  • Kufanya utafiti wa misitu
  • Kutekeleza Sera na Sheria za misitu
  • Kuendesha mafunzo ya Wasaidizi wa Misitu
  • Kukusanya takwimu za misitu
  • Kufanya ukaguzi wa misitu
  • Kupanga na kupima madaraja ya mbao
  • Kudhibiti leseni na uvunaji wa miti
  • Kutoa ushauri na mafunzo kwa wananchi juu ya uendelezaji na matumizi endelevu ya miti na misitu kwa wananchi
  • Kufanya ukadiriaji wa rasilimali za misitu na
  • Kupima maeneo na kuchora ramani za misitu
QUALIFICATION AND EXPERIENCE: Kuajiriwa mwenye Shahada ya Misitu kutoka Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine au Vyuo Vikuu vingine vinavyotambuliwa na Serikali.

REMUNERATION TGS D

The deadline for submitting the application is 19 May 2021

CLICK HERE TO APPLY
 
Back
Top Bottom