Afisa Mipango Miji asimamishwa kazi kwa kufoji na kuuza ardhi kinyemela

Influenza

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,445
3,369
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe.William Lukuvi amemsimamisha kazi afisa mipango miji wa halmashauri ya wilaya ya Sengerema, Manase Castory Nkuli ambaye awali alikuwa wilaya ya Lindi kwa kufanya ubadhirifu kufoji nyaraka na kuuza hekari 6000 za ardhi kwenye ufukwe wa bahari ya hindi kinyume na taratibu.

Akizungumza kwenye kikao kazi cha wataalam wa sekta ya ardhi nchini Waziri Lukuvi anasema serikali haiwezi kuvumilia ubadhilifu huo kwani afisa huyo hakufuata taratibu za umilikishaji huku akifoji hati jambo ambalo ni kinyume cha sheria.

Waziri Lukuvi pia amesema wizara yake itafungua kanzi data ya kupokea taarifa zote za matapeli wa ardhi nchi nzima na wananchi wataweza kutoa taarifa juu ya watu hao ili washughulikiwe kutokana na kukithiri kwa matukio ya utapeli na dhuluma kwenye sekta hiyo huku wahanga wakubwa wakiwa ni wantu wanyonge wasio na uwezo.

Kikao kazi hicho pia kimehudhuriwa na wawakilishi kutoka wizara za ofisi ya rais tawala za mikoa na serikali za mitaa na menejimenti ya utumishi wa umma ambapo katibu mkuu TAMISEMI Mhandisi Joseph Nyamuhanga anasema zipo baadhi ya sheria ardhi zinapashwa kufanyiwa marekebisho ili kuondoa muingiliano wa maamuzi kati ya wizara hizo mbili.

Awali Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dorothy Mwanyika anabainisha kuwepo changamoto ambazo bado zinaikabili sekta ya ardhi na kutaka watendaji hao kutumia kikao kazi hicho kuzijadili na kutoa maamuzi yatakayowezesha sekta ya ardhi kuwa na nchango mkubwa kwa maendeleo ya wananachi na taifa.
 
Asamehewe tu arudi kazini na ikiwezekana apandishwe cheo kabisa, yanini kumtoa machozi mwananchi huyu.
 
Mbona Tanga Tony and Co. LTD anafanya hayo hayo na yeye Lukuvi aliacha amemkabidhi kibali cha dhuruma? anauza viwanja vya watu kila leo.
 
Hahahah Tony alikufanyaje aiseeh?ukiona hivo jua anakula na wakubwa,sio wote wanatumbuliwa wengine wanabebwa sababu ya chain ya ulaj na usukamalaizeshen
Tony bulazaa jiandaeee hahahah
 
Yatafika mwisho maana inaonekana Lukuvi ana undugu na Tony ndiyo maana anafumbia wizi wote anaoufanya kwenye ardhi
 
Hata hivyo mheshimiwa Lukuvi anachukua hatua za kinidhamu kwa hao mumiani kwa huruma sana. Ana utu na ni muungwana.

Matendo yaliyofanywa na hao mafisi ni ya kudhalilisha sana watu, hasa kwa raia wanyonge, wanaodunduliza hela yao kwa jasho jingi na damu.
Wanagonganishwa wawiliwawili ama zaidi katika kiwanja ki1!

Nilikuwa namkazia macho wakati akisimamisha kazi, nilimuona anafanana na mzazi anayechapa mwanaye huku roho ikimuuma, ana huruma sana huyo kiongozi.

Anaadhibu kwa kuwa tu hana namna!
Angelimuiga Kassim Majaliwa, staili anayong'oleaga masiki! Mbona utaipenda?

Hata anayefukuzwa, akienda kujikagua msalani, hujikuta kajikojolea kwa kishindo cha utumbuaji!
 
Back
Top Bottom