Afisa Masoko wa kampuni ya Usafi na viuwa wadudu

Manala An Academician

Senior Member
Oct 10, 2016
109
225
Flydream Company Ltd ni kampuni iliyosajiliwa na BRELA kwaajili yakutoa huduma mbalimbali kupitia biashara zilizo chini yake.
Kwasasa inawatangazia watu wote wenye sifa za kuomba nafasi zifuatazo kupitia kampuni tanzu ya Real Vision Cleaning & Fumigation services yenye ofisi zako Mabibo, jijini Dar Es Salaam.
1. Afisa Masoko-nafasi 4
Sifa:
a) uwezo wa kujieleza na ushawishi mkubwa
b) uelewa wa kutumia program mbalimbali katika computer
c) Aliyewahi kufanyakazi ya masoko hasa katika kampuni ya usafi atapewa kipaumbele
d) Ubunifu katika kaxi

Mshahara: Kwakuanzia utakuwa ni 350,000 kutegemea na kutimiza malengo yakampuni tofauti na gharama za nauli na mawasiliano

2. Wafanyakazi wa Fumigation-nafasi 10
Sifa
a) uwezo wa kutumia mashina zote za Fumigation
b) walio tayari kufanyakazi kwakujituma
c)kufanyakazi kwa- bidii na bila usimamizi

Mshahara: Utakuwa ni kuanzia 200,000 kabla ya hela ya nauli na vitu vingine kwaajili ya afya ya mfanyakazi

kwa- wote wanaoona wanasifa za kuomba watume maombi kupitia WhatsApp namba 0765374146
Deadline: itakuwa saa 10:00 jioni jumapili ya tarehe 26/09/2021
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom