Mtego wa Noti
JF-Expert Member
- Nov 27, 2010
- 2,591
- 1,599
Kweli kujuana ni kuzuri maana mnaweza mkajazana kwenye wizara familia moja tu. et afisa madini mkazi kule tangaambako machimbo yamewafunika watu wanne anaitwa Philip ngeleja.....nashindwa kuelewa kama na majina tu au wanachangia vinasaba na ngeleja wa giza..
sitaki kuamini kama ngeleja aliamua kumpiia chapuo ndugu yake katika nafasi hiyo maana naona hata mkuu wa mkoa wa tanga wakati akimuuliza swali huyo afisa ngeleja alioekana kutojiamini kama mkuu wa mkoa.....
Nawasilisha!