Afisa Madini wa Tanga ni Phillips Ngeleja, hii imekaaje?

Mtego wa Noti

JF-Expert Member
Nov 27, 2010
2,592
1,599
Kweli kujuana ni kuzuri maana mnaweza mkajazana kwenye wizara familia moja tu. et afisa madini mkazi kule tangaambako machimbo yamewafunika watu wanne anaitwa Philip ngeleja.....nashindwa kuelewa kama na majina tu au wanachangia vinasaba na ngeleja wa giza..
sitaki kuamini kama ngeleja aliamua kumpiia chapuo ndugu yake katika nafasi hiyo maana naona hata mkuu wa mkoa wa tanga wakati akimuuliza swali huyo afisa ngeleja alioekana kutojiamini kama mkuu wa mkoa.....
Nawasilisha!
 
  • • 2008 – Ministry of Energy & Mineral Resources – Minister of Energy & Mineral ...
  • • 2005 – Sengerema Constituency – Member of Parliament for Sengerema
  • • 2000 – Vodacom Tanzania – Advocate
  • Mtanzagiza?

  • [h=3]Power woes won't end soon, Ngeleja cautions [/h]
    images
    images
    images

    images

Kweli kujuana ni kuzuri maana mnaweza mkajazana kwenye wizara familia moja tu. et afisa madini mkazi kule tangaambako machimbo yamewafunika watu wanne anaitwa Philip ngeleja.....nashindwa kuelewa kama na majina tu au wanachangia vinasaba na ngeleja wa giza..
sitaki kuamini kama ngeleja aliamua kumpiia chapuo ndugu yake katika nafasi hiyo maana naona hata mkuu wa mkoa wa tanga wakati akimuuliza swali huyo afisa ngeleja alioekana kutojiamini kama mkuu wa mkoa.....
Nawasilisha!
mkuu wangu haya majina yetu ya usukumani yasikutie hofu....jina li ngeleja(liingereza) inaweza kuwa coincidence tu au kama jina lenyewe linavyoashiria , waingereza ni wengi. Kama sikosei hata mke wake 'bwana mapesa' mzee Cheyo alikuwa anaitwa Elizabeth Ngeleja kabla ya kuolewa.......! naye anauhusiano na ngeleja?
 
Hujajibu swali!
 
Km ana qualification tatizo linatoka wapi? Hata kama kaka ni waziri na dada ni katibu mkuu mm sioni tatizo km vigezo wametimiza,
 
Kweli kujuana ni kuzuri maana mnaweza mkajazana kwenye wizara familia moja tu. et afisa madini mkazi kule tangaambako machimbo yamewafunika watu wanne anaitwa Philip ngeleja.....nashindwa kuelewa kama na majina tu au wanachangia vinasaba na ngeleja wa giza..
sitaki kuamini kama ngeleja aliamua kumpiia chapuo ndugu yake katika nafasi hiyo maana naona hata mkuu wa mkoa wa tanga wakati akimuuliza swali huyo afisa ngeleja alioekana kutojiamini kama mkuu wa mkoa.....
Nawasilisha!
Wahuni wanatupeleka wanavyotaka.
 
Umeshindwa nini kumuuliza waziri au huyo afisa mwenyewe? Kufanan majina sio lazima watu wawe ndugu. Sehemu zingine majina hutolewa kulingana na matukio, kwa hiyo usishangae mababu waliozaliwa mwaka 1919 wakati mwingereza anaingia kutawala Tanzania waliitu "omwingereja" na kuzaa jina la Ngereja au Ngeleja, hata kama sio wa ukoo/damu moja. Na kwenye maeneo yote ya usukumani (Mwanza, Shinyanga, Tabora na Mara pia) watu wenye majina haya ni wengi na hawana undugu wa damu.

Unatakiwa ufanye utafiti kidogo kabla hujaja kuleta tuhuma.
 
Kuna shida gani Kama kila mtu kapata nafasi aliyonayo kivyakevyake? Mpaka awe afisa wa madini mkoa inaonyesha amekuwa mtumishi wa wizara/idara hiyo kwa kipindi cha kutosha, pengine yawezekana kabla hata Ngeleja waziri hajapata hiyo nafasi. Sioni tatizo Kama anavyo vigezo na sifa za kushika wadhifa huo.
 
Umeshindwa nini kumuuliza waziri au huyo afisa mwenyewe? Kufanan majina sio lazima watu wawe ndugu. Sehemu zingine majina hutolewa kulingana na matukio, kwa hiyo usishangae mababu waliozaliwa mwaka 1919 wakati mwingereza anaingia kutawala Tanzania waliitu "omwingereja" na kuzaa jina la Ngereja au Ngeleja, hata kama sio wa ukoo/damu moja. Na kwenye maeneo yote ya usukumani (Mwanza, Shinyanga, Tabora na Mara pia) watu wenye majina haya ni wengi na hawana undugu wa damu.

Unatakiwa ufanye utafiti kidogo kabla hujaja kuleta tuhuma.

Vipi, mbona jazba? Utafiti wenyewe si ndio kauanzia hapa kwa kuuliza? Au alitakiwa akafanyie wapi huu utafiti?
Ulichotakiwa kufanya hapa ni kutoa majibu kama unayo la sivyo ungeweza kukaa kimya tuu. AU NA WEWE NI MWINGELEJA?
 
Km ana qualification tatizo linatoka wapi? Hata kama kaka ni waziri na dada ni katibu mkuu mm sioni tatizo km vigezo wametimiza,
<br />
<br />
Hapa ndipo wandengereko tunapokufa kifo cha mende. Hivi wewe do u know something called Conflict of Interest? Wenye akili popote duniani hawafanyi hivi ati kisa ana qualifications ndo iwe mrundikano idara moja? Kwenye maamuzi ya ulaji what do u expect?
 
hakuna tatizo kama anaqualify... william kapata cheo cha kisiasa... huyo mwingine sijui

what if kesho ngeleja akiwa waziri wa afya tutatafuta ngeleja wote tuanze na sredi ingine??

aiseee...

kibaya tu ni kama amepata nafasi kiupeneleo
 
  • Thanks
Reactions: SG8
Vipi, mbona jazba? Utafiti wenyewe si ndio kauanzia hapa kwa kuuliza? Au alitakiwa akafanyie wapi huu utafiti?
Ulichotakiwa kufanya hapa ni kutoa majibu kama unayo la sivyo ungeweza kukaa kimya tuu. AU NA WEWE NI MWINGELEJA?

ahahah1 usinichekeshe. Hoja yako ilikuwa kufanana majina, na mimi nikufahamisha kufanana majina siyo lazima iwe ni ndugu.
 
Km ana qualification tatizo linatoka wapi? Hata kama kaka ni waziri na dada ni katibu mkuu mm sioni tatizo km vigezo wametimiza,

Kumbe tz nayo ni kama malawi eeh...mke wa rais ni waziri na kaka wa rais ni waziri...oohooo kumbeh...lakini hata mama salma si anakwalifikeshen....mbona hapewi hata ukatibu wa wizara ya elimu?
 
Ni vizuri kama kuna mtu anafahamu ukweli amjibu kistaarabu hoja haikuwa qualification au la hoja ni kama wana undugu na mheshimiwa waziri anyejua amsaidie tu ili jamaa aridhike nawasilisha
 
swali la mtoa mada ni rahisi,je wana uhusiano wowote au ni majina yamefanana tu?,km hujui si unanyamaza au unasema hujui..
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom