Afisa Madini wa Tanga ni Phillips Ngeleja, hii imekaaje?

Wahuni wanatupeleka wanavyotaka.

Hii ni kama Uganda Museven na ndugu zake ,this is Africa mwisho wa siku yakuharibika ndio tunaanza kuwafahamu.Mie nikisikia neno NGELEJA NAHISI KUTAPIKA.yaani hata mtu akikosea kuitamka gereji nahisikama amesema Ngeleja.
 
Km ana qualification tatizo linatoka wapi? Hata kama kaka ni waziri na dada ni katibu mkuu mm sioni tatizo km vigezo wametimiza,
Hata mimi kwenye hili sioni tatizo lolote, hasa ukizingatia yule jamaa hata umri unaoneka mkubwa kuliko Wiliam Ngeleja. Lbda yeye alitangulia kuajiriwa kabla ya jamaa kuteuliwa
 
Important - Does he possess required qualification for that post? and was he employed in the Ministry before 2005?
 
Km ana qualification tatizo linatoka wapi? Hata kama kaka ni waziri na dada ni katibu mkuu mm sioni tatizo km vigezo wametimiza,

Justice should not only be done .....but seen to be done!
 
swali la mtoa mada ni rahisi,je wana uhusiano wowote au ni majina yamefanana tu?,km hujui si unanyamaza au unasema hujui..

Hawana undugu!

Ni majina tu yamefanana! Kuna swali tena?

Huyo jamaa yako kauliza swali la kitoto hilo! Shida ya wa-TZ wengi wanatumia Masaburi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom