Hivi scale za mishahara haziko kwenye website ya utumishi?Hello wakuu ,naomba kuulIza eti mshahara kwa watu wanaofanya kazi kwa secta ya kilimo yaani , afisa kilimo ngazi ya kata ,hulipwa shingapi serikalini?
Certificate TGS B1- 395,000/=AFO III-- KijijiHello wakuu,
Naomba kuulIza eti mshahara kwa watu wanaofanya kazi kwa secta ya kilimo yaani, afisa kilimo ngazi ya kata hulipwa shingapi serikalini?