wa hapahapa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 7,454
- 4,376
Afisa utumishi wilayani Mafia, Ngd. Kimaro umekuwa ni kero kubwa kwa wafanyakazi na taasisi unayofanyia kazi , inasikitisha sana pia bosi wako Mkurugenzi kushindwa kukuchukulia hatua zozote stahili kwa mambo unayofanya ya Uonevu, Matumizi mabaya ya madaraka na kujari maslahi binafsi na upendeleo kazini.
Tokea ulivyotoka chuo mwaka jana hadi leo umesababisha kuwepo kwa matabaka ndani ya taasisi unayofanyia kazi wapo wanaojiita wenye halmashauri (wakuu) na wengine wasio na tija japo wote ni wajiriwa wa taasisi hiyohiyo moja. Je hii ni moja ya RESEARCH YAKO ? kuleta migogoro
Tokea ulivyotoka chuo hadi june 2013, umesimamia usimamishwaji wa wafanyakazi wanne, ikiwa watatu ulitumia nafasi uliyonayo moja kwa moja kwa kuwandamiza watumishi kwa kutumia madaraka vibaya na uonevu wako binafsi.
Mtumishi aitwaye Abdalah kwa kosa la wizi wa kingamuzi ulihakikisha suala hili linamfikisha Mahakamani kijana huyo kwa nia yako binafsi pengine suala hili lingeishia ofisini tu. Tatizo unaendelea kuitia hasara taasisi yako kwakuwa mtumishi huyo bado kasimamishwa kazini ingawa tayari ameshalipa kifaa hicho mahakamani na kesi kuisha. Nia yako ni KUWAKOMOA wafanyakazi wasiokupa rushwa.
Mtumishi aitwae Lusinde, huyu April 2013 uliamua kumpeleka polisi kwa chuki zako binafsi na kwa sababu zako binfsi au maslahi uliyohaidiwa baada ya kumsimamisha kazi kijana huyo. Kijana huyo kwa sasa umehakikisha hadi kusimamishwa kazi kwake pasipo na hoja ya msingi. Inashangaza kuona badala ya kuwa msaada sasa unazidi kuwa tishio kwa wafanyakazi na kiongozi USIYE NA MSAADA kwa watu waliochini yako.
Inasikitisha kuona umezidi kuwa adui wa haki na wajibu wa watumishi, zaidi unasifika kwa rushwa zilizokithiri na kujifanya bila wewe mambo hayaendi, NI KWAMBA baada ya kuchukua rushwa hili uwapadishe ukuu wa vitengo na miradi watu FulaniFulani hv , sasa unatafuta rushwa kwa nguvu kwa kuonea baadhi ya watu na kuonyesha kama mifano watu hao ili uogopwe na uzidi kuchukua rushwa kwa wengine pasipo kufuatiliwa.
Inasikitisha kuona bosi wako kujua tuhuma zako na kushindwa kukuchukulia hatua za kinidhamu na kuachalia tatizo hili kuzidi kuwa kubwa.
Yupo mtumishi aitwae Chengula huyu kwa kuwa mkuu wake wa idara ampendi waziwazi kwa sababu zake binafsi, kwa kushirikiana na wewe ukaamua kumsimamisha kazi pasipo kufuata taratibu za utumishi kinyume na wajibu wako wa kusimamia haki za wafanyakazi. Katika hili UMUHIMI WAKO uko wapi ?
Japo ulikuta jambo la Kyara likiwa Hot ulivyotoka chuo lakini umeshindwa kushauri jambo hili kitaalamu na hadi sasa jambo bado linafukuta ktk taasisi yako.
Kwa faida yako tu, mpango sasa ni kuweka wazi maovu yako yote kabla hujahama kisiwani.
USHAURI : SOMA ALAMA ZA NYAKATI ITAKUSAIDIA