Afisa Habari wa Yanga: Tumejiweka vizuri katika mbio za ubingwa VPL

Katika hali ya kushangaza Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli amesema wamejiweka vizuri na mechi ya kesho katika mbio za kutwaa ubingwa wa VPL.

Ameeleza hayo akihojiwa na Azam Sports leo wakati Yanga ikifanya mazoezi kujiandaa na mechi ya kesho dhidi ya KMC.

Nasema hali ya kushangaza kwa sababu ili Yanga ichukue ubingwa inabidi Simba SC afungwe mechi 7 huku Yanga SC ikifunga mechi zote 15 zilizosalia.

My Take:
Wasemaji wa Yanga wawe wanapewa karatasi wasome mbele ya media, wanaropoka sana.
Vipi mbio bado zipo mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi mbio bado zipo mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Bado zipo...huwezi kujua Mambo ya Corona.......ligi inaweza kuahirishwa au kufutwa kabisa mwaka huu...kule England vpl imesimamishwa kwa muda...Nina wasiwasi na lichama langu la Liverpool Kama kweli tutachukua ubingwa baada ya miaka 30....fikiria Kama michuano hi itafutwa mwaka huu...
 
Back
Top Bottom