Afisa habari wa CHADEMA uko wapi?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,994
144,329
Hii taarifa ya UKAWA na Mbowe kutuhumiwa kwenda mahakamani kufungua kesi kwa lengo la kuzuia bunge lisijadili ufisadi wa IPTL si jambo dogo na hampaswi kukaa kimya hivyo tunaomba mtupe ufafanuzi kujibu hizi tuhuma ambazo binafsi sitaki kuziamini.

Mbali na afisa habari wa CHADEMA,hata viongozi wengine wa UKAWA/CHADEMA mlio member hapa JF mnaweza toa ufafanuzi.

Ni ushauri tu.

Mods,naomba msiunganishe huu uzi.
 
Afisa habari wa Chadema ameambiwa na Mbowe akae kimya mpaka yeye mbowe ajue hatma yake. Mbowe kwa sasa amekimbilia Dubai kujificha
 
Back
Top Bottom