Afisa Habari wa Azam FC huna uwezo wa kumzuia Prince Dube kuondoka ndani ya Klabu

Ghazwat

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
21,171
2,000
Akiongea kwenye kipindi cha michezo Radio UFM. Afisa Habari wa Azam FC Thabit Zakaria 'ZakazaKazi' amekemea na kutoa Vitisho vikali kuhusu wenye mpango wa kuhitaji huduma ya mshambuaji hatari Prince Dube wa Azam FC.

Alisema katika kauli yake "Prince Dube amerudi kwenye kiwango chake, baada ya kupata majeraha na kwakuwa ni msimu wake wa kwanza tunampongeza kwamba anafanya kilicho kizuri na matumaini yetu inawezekana msimu ujao akafanya vizuri zaidi ya hapa kama Mungu atamlinda na majeraha, na atakuwa ameizoea ligi kuliko hivi sasa. Niwakemee wale wanaotamani vitu vya watu, niseme tu atakufa mtu mwaka huu". Alisema Zaka.

Ndugu yangu Thabit Zakaria 'Zakazakazi' nadhani umesahau sasa ngoja nikukumbushe kidogo Kauli ya Mshauri wa Mwenyekiti wa Bodi ya Simba, Crescentius Magori kwenye kipindi cha Kurasa za Mwisho ndani ya Azam Tv January 30, 2021. Alikuambia LIVE 'mubashara' kuwa Simba SC wakimuhitaji mchezaji yeyote Afrika Mashariki na Kati hawashindwi kumpata huku akimtaja Prince Dube wa Azam FC.

Kama Magori amesema haya, Mimi pamoja na Wanachama na Mashabiki Wenzangu Kindakindaki ni akina nani tena tupinge, kwamba sasa Simba SC tumefika Next Level ya kumng'oa mchezaji yeyote Afrika Mashariki na Kati, ni kutokana na kuwa Klabu Kubwa na Bora Afrika.

Afisa Habari wa Azam FC Thabit Zaka, huna uwezo wa kumzuia Prince Dube kuondoka Azam FC endapo Klabu kama Simba SC itamuhitaji, kwahivyo acha kujiamini kupita kiasi vile vile acha Vitisho, hivi unafikiri Prince Dube amekuja kushangaa Majengo TANZANIA? Unadhani Dube hataki kucheza Klabu Kubwa na Bora Afrika?

FB_IMG_1618293936654.jpg
 
Mgagaa na Upwa

JF-Expert Member
Sep 30, 2013
6,533

View attachment 1750869
Uwezo wa kununua wachezaji hamna,labda msubiri mkataba wake uishe,dube yuko timamu kiakili sio sawa na yule chizi morrison mseme mtamrubuni
 
fimboyaasali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
3,424
2,000
Akiongea kwenye kipindi cha michezo Radio UFM. Afisa Habari wa Azam FC Thabit Zakaria 'ZakazaKazi' amekemea na kutoa Vitisho vikali kuhusu wenye mpango wa kuhitaji huduma ya mshambuaji hatari Prince Dube wa Azam FC.

Alisema katika kauli yake "Prince Dube amerudi kwenye kiwango chake, baada ya kupata majeraha na kwakuwa ni msimu wake wa kwanza tunampongeza kwamba anafanya kilicho kizuri na matumaini yetu inawezekana msimu ujao akafanya vizuri zaidi ya hapa kama Mungu atamlinda na majeraha, na atakuwa ameizoea ligi kuliko hivi sasa. Niwakemee wale wanaotamani vitu vya watu, niseme tu atakufa mtu mwaka huu". Alisema Zaka.

Ndugu yangu Thabit Zakaria 'Zakazakazi' nadhani umesahau sasa ngoja nikukumbushe kidogo Kauli ya Mshauri wa Mwenyekiti wa Bodi ya Simba, Crescentius Magori kwenye kipindi cha Kurasa za Mwisho ndani ya Azam Tv January 30, 2021. Alikuambia LIVE 'mubashara' kuwa Simba SC wakimuhitaji mchezaji yeyote Afrika Mashariki na Kati hawashindwi kumpata huku akimtaja Prince Dube wa Azam FC.

Kama Magori amesema haya, Mimi pamoja na Wanachama na Mashabiki Wenzangu Kindakindaki ni akina nani tena tupinge, kwamba sasa Simba SC tumefika Next Level ya kumng'oa mchezaji yeyote Afrika Mashariki na Kati, ni kutokana na kuwa Klabu Kubwa na Bora Afrika.

Afisa Habari wa Azam FC Thabit Zaka, huna uwezo wa kumzuia Prince Dube kuondoka Azam FC endapo Klabu kama Simba SC itamuhitaji, kwahivyo acha kujiamini kupita kiasi vile vile acha Vitisho, hivi unafikiri Prince Dube amekuja kushangaa Majengo TANZANIA? Unadhani Dube hataki kucheza Klabu Kubwa na Bora Afrika?

View attachment 1750869
Wala hajyi asemalo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom