Afisa elimu taaluma {msingi} Moshi manispaa alipwa fedha na CWT wakati huo mwanachama wa CWT

Kibogoyio2020

Senior Member
May 4, 2018
154
225
Katika hali ya kusikitishwa afisa elimu taaluma elimu msingi Moshi manispaa si amelipwa malipo yasiyofahamika na chama cha walimu Tanzania {CWT}.

Mwalimu huyo jina limehifadhiwa amekuwa akilipwa posho mbalimbali na chama hicho ilihali yeye ni mwalimu wa muda mrefu na hakatwi michango na chama juluka, Ilanga kila malipo na posho analipwa. Tukiuliza kulikoni hatupewi majibu.

JF imefuatilia suala hili ikagundua ni mlaji wa malipo na tshwa kutoka kwa walimu ili awapange kwenda kusimamia mitihani na ili kuwasaidia walimu wapewe uhamisho.

JF imefuatilia historia yake imegudua alikuwa mwalimu wa msingi pasua Moshi manispa na kutumia njia za panya kupewa cheo alichonacho sasa ambacho anakitumia kinyume na maadili ya utumishi wa Umma.

Tunaomba achunguzwe na ikiwezekana ufanyike uhamisho wa haraka kunusuru walimu na CWT amekuwa akinyanyasa walimu na kutishia kutokusimamia mitihani kama hakupendi.

Cha kushangaza manispaa ina shule 32 ila ina maafisa elimu taaluma wawili. Kazi walizonazo haziwatoshi kulingana na kodi za watanzania matokeo yake wanakaa ofisini wakipiga zonga na umbea.
 

havanna

JF-Expert Member
Sep 17, 2016
1,940
2,000
Mauza uza chama chenyewe kama cha kichawi tu hakieleweki kama kumkomboa mwalimu au kumdidimiza
 

Chacho Haulage

JF-Expert Member
Aug 25, 2017
205
250
Tatizo walimu wanaufafanuzi sana.. Sasa unahonga ili upangwe kusimamia mtihani si kuidhalilisha taaluma huko? wajitahidi kujipambanua Kwa mambo mengine na waache kuwa watu wa maelezo!!!
 

Kibogoyio2020

Senior Member
May 4, 2018
154
225
Tatizo walimu wanaufafanuzi sana.. Sasa unahonga ili upangwe kusimamia mtihani si kuidhalilisha taaluma huko? wajitahidi kujipambanua Kwa mambo mengine na waache kuwa watu wa maelezo!!!
Mwenye CV ya huyu afisaelimu taaluma wa moshi manispaa aiweke hapa tafadhali.
 

mmteule

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
3,903
2,000
Kuna kada kwa wivu na majungu hamjambo. Nenda kaajiriwe na Shigongo patakufaa sana Mkuu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom