Afisa elimu msingi wilaya ya Siha ni tatizo la kudumu

Hakika ninamshangaa sana anayemtuhumu Afisaelimu Msingi Siha. Ukweli ni kuwa tuhuma zimejaa uongo/uzushi usio na maana. Unaandika ukijua mtihani was drs LA saba umekaribia. Yaelekea una agenda ya kuangusha matokeo ya mwaka huu.Jipime na usali kwa Mungu wako kwani uongo huo utakugharimu mbele za Mungu na wanadamu pia,pengine hata kizazi chako
 
Weka CV ya afisa elimu msingi wilaya ya siha hapa.usikwepe swali.sisi walimu tunapata shida sana hamuelewi tu.hapa shuleni kwetu alifika mwaka Jana November,hajafika tena. Na tumemhitaji afike tujadili naye matatizo tuliyonayo na namna ya kuinua taaluma kila siku anasema yuko busy.
 
Vema ukas

Vema useme in tatizo lako binafsi. Shule yako ni moja kati ya shule za wilaya. Vikao vya walimu wakuu hufanyika Mara kwa mara,kwanini usilete hoja hizo kwenye vikao? Je? Shule yako tu ikifaulisha na nyingine zikafelisha wilaya itashika nafasi ya kwanza? UHAURI KWAKO. MJADALA HUU UFANYIKE KWENYE VIKAO

CV wapi.ova
 
Mwalimu kabla haujafika hapa kwenye mtandao una sehemu nyingi ambazo ulipasa kwenda kulalamikia hili swala lako ukianzia kwa mkurugenzi wako, kisha tss na ikishindikana basi kwa katibu tawala mkoa kisha katibu mkuu Tamisemi naamini kule madai yako yangetatuliwa
 
Weka CV yake hapa.mengine yatajijibu yenyewe. Ukikosa CV yake majibuyake ni tatizo LA kidumu.hatuwezi kubwa Wa mwisho kielimu kila mwaka na serikali inatoa elimu bure na sisi tunalala macho kufundisha kwa bidii na hatutoki hapo. Kuna tatizo LA kufumu.Mimi nimefundisha miaka 27 sasa. Sijawahi on a uongozi mbovu kama huu Wa elimu msingi wilaya ya siha. Ova
Wewe na nani mnakaa macho kufundisha? Na ni kipi mnachofundisha wakati hata kuandika neno kudumu unashindwa unaandika kidumu? Nahisi wewe ndio tatizo kubwa unatafuta tu defence mechanism
 
Tusichoke kumpa shule mtu kama huyu labda itasaidia n'a wengine kupata uelewa n'a kuacha kutoa malalamiko yasiyo n'a msingi
 
Huyu jamaa hajawahi kutoa malalamiko popote ila kajifunzia huku mtandaoni
Ni vema tuwe makini mambo tunayoyapost
 
Weka CV ya afisa elimu msingi wilaya ya siha hapa.usikwepe swali.sisi walimu tunapata shida sana hamuelewi tu.hapa shuleni kwetu alifika mwaka Jana November,hajafika tena. Na tumemhitaji afike tujadili naye matatizo tuliyonayo na namna ya kuinua taaluma kila siku anasema yuko busy.
Afisa elimu hawezi kuja kwako kwa ajili ya matatizo ya familia yako
Ww Kama unalako jambo useme tu
 
Mwalimu kabla haujafika hapa kwenye mtandao una sehemu nyingi ambazo ulipasa kwenda kulalamikia hili swala lako ukianzia kwa mkurugenzi wako, kisha tss na ikishindikana basi kwa katibu tawala mkoa kisha katibu mkuu Tamisemi naamini kule madai yako yangetatuliwa
Tatizo lilopo siha ni kukosekana pa kutumia malalamiko ya shule yetu tuliyonayo.weka CV ya afisa elimu hapa.utagundua walalamiko yetu na namna ya kuyatatua.
 
Unafiki wenu walimu ndiyo matunda yake hayo,mkiona mwenzenu katoka kwenda kusoma ,au kabiashara kake kamenawili mnapiga majungu

Huyo afisa elimu nampongeza kwani walimu wenyew hata hamjielewi mwaka wa mia9 itapendeza hata madaraja hakuna

Pambana na hali yako
Kabisa yani sijaona kada ya watu wanafiki na wasaliti kama walimu,mpaka wauguzi wamewacha mbali Sana, wakiona mwenzao anajiongeza kivyake wao kwa wao wanapiga majungu na vita kuona mwenzao kapambana na hali take kawazidi kipato.....yaliyomkuta shemeji yangu sina hamu na Hawa jaamaa kabisa....I hate them
 
Ndio maana hawaendelei
 
Tumemuelimisha vya kutosha haelewi
Tutaelewe tukiona CV ya afisa elimu msingi siha. Tumetafakari sana hadi tuna tafuta CV yake.matatizo ya kielimu yamemshinda kuystatua hadi tumeona tutume JF ili serikali nifuatilie kilio chetu.
 
CV unayoitaka ya DEO ya nini?. Naomba ufafanue. Nadhani bora ufunge mjadala huu kwani hauna mashiko kwa yoyote. Pia kumbiuka kuwa wewe uko darasani kufundisha.Tumbie jitihada yako na CV nzuri uliyonayo,ilifanikisha ufaulu wa
shule yako kiasi gani?
 
Back
Top Bottom