Afisa elimu akataa kusainisha hundi ya hela ya motivation iliyotolewa na Serikali

malivawan10

JF-Expert Member
Nov 22, 2012
541
310
Afisa elimu kataa kusainisha hundi za motivation kwa shule iliyofaulisha sana na kusema utampaje mwalimu laki mbili na nusu atanywea pombe zote. Je, kwa maafisa elimu kama hawa elimu itapanda kweli? na pesa zilizotolewa na serikali zilitolewa kama motivation kwa walimu kwa shule zilizofaulisha je tujiulize
.
maana ya motivation ..acording to bussiness dictionary Motivation is Internal and external factors that stimulate desire and energy in people to be continually interested and committed to a job, role or subject, or to make an effort to attain a goal.
Motivation results from the interaction of both conscious and unconscious factors such as the (1) intensity of desire or need, (2) incentive or reward value of the goal, and (3) expectations of the individual and of his or her peers. hiyo ni maana ya motivation je hawa maafisa elimu wana elimu gani (au ya kuunga unga ) kiasi kwamba hawajui motivation maanake ? MAAFISA ELIMU NI JIPU KUBWA SANA WALIPEWA UAFISA ELIMU KWA RUSHWA KWA HONGO ILI WAPEWE CHEO HICHO
 
Afisa elimu wa Kasulu akataa kusainisha check za motivation kwa shule iliyofaulisha sana na kusema utampaje mwalimu laki mbili na nusu atanywea pombe zote, je kwa maafisa elimu kama hawa elimu itapanda kweli? Au ndio kuisoma namba.
Mawazo yake ni pombe.hawezi kufikiri zaidi ya hapo.maafisa uchwara ni shida.
 
Maafisa elimu wengi wako hivyo. Hapo ukute anamuonea wivu mwalimu kuidaka hiyo hela maana wao mirija yao mingi imezibwa sasa.
Teh....hvi maafisa elimu walikua na mirija ipi yakupata hela mkuu,,,,naomba kujua tu
 
Wakati wa mitihani ya taifa wanapata pesa kama SACCOS, kuna wasio waaminifu huwatoza 40% wasimamizi ili wapewe nafasi. Rushwa nje nje labda Magufuli atapubguza hili japo kwa 1% kuliondoa hataweza
 
Afisa elimu wa Kasulu akataa kusainisha check za motivation kwa shule iliyofaulisha sana na kusema utampaje mwalimu laki mbili na nusu atanywea pombe zote, je kwa maafisa elimu kama hawa elimu itapanda kweli? Au ndio kuisoma namba.
uyo afisa anaitaji kutumbulia sio bure
 
Dawa yake inakuja maana kama Tangazo ameshasikia kua kila Halmashauri Afisa Elimu atabaki Mmoja sasa asubirie kung'olewa na yeye akawe Mwl wa kawaida mshahara akanywee pombe, hiyo yote ni roho mbaya tu
 
Teh....hvi maafisa elimu walikua na mirija ipi yakupata hela mkuu,,,,naomba kujua tu
Pesa mingi tu...
1. Pesa za usimamizi wa mitihani ya taifa
2. Pesa za mafunzo ya walimu na semina
3. Pesa za manunuzi ya vifaa mashuleni(bila ganji wanakataa kupitisha vocha)
4. Pesa za ujenzi na ukarabati wa majengo ya shule(hapa ni noma)
5. Pesa za chakula kwa shule za bweni ndani ya halmashauri zao
6. Pesa za uhamisho(hupewi nafasi ya kuhama au kuhamia kama hujiongezi.
n.k n.k....
 
Kumbe halmashauri zote upigaji n huo huo
 
Tupunguze umbea walimu wenzangu! Mleta mada weka barua ya hicho unachosema kama kina ukweli! Kazi za serikali ni maandishi. Vingnevyo usituone soooote humu ni wachonganishi kama wewe. Nusura tu ningekutaja kabila!
 
Pesa mingi tu...
1. Pesa za usimamizi wa mitihani ya taifa
2. Pesa za mafunzo ya walimu na semina
3. Pesa za manunuzi ya vifaa mashuleni(bila ganji wanakataa kupitisha vocha)
4. Pesa za ujenzi na ukarabati wa majengo ya shule(hapa ni noma)
5. Pesa za chakula kwa shule za bweni ndani ya halmashauri zao
6. Pesa za uhamisho(hupewi nafasi ya kuhama au kuhamia kama hujiongezi.
n.k n.k....
He,heh...kumbeeee ndo mana huyu wa huku kwetu maendeleo yake mpk yalikua yananishangaza,,lakin pia hizo za usimamiz wa mitihani na semina si bado watapata tuu mkuu
 
He,heh...kumbeeee ndo mana huyu wa huku kwetu maendeleo yake mpk yalikua yananishangaza,,lakin pia hizo za usimamiz wa mitihani na semina si bado watapata tuu mkuu
Ni ngumu kumzuia binadamu kula. Ninachotaka tu walimu wapewe haki zao.
 
Huyu Afisa Elimu wa kasulu atakuwa kijana ama mzee maana inawezekana umri ukawa shida kwake anatakiwa kwenda na kasi ya mhe rais .
 
Back
Top Bottom