Afisa Afya Mkoa wa Kagera akanusha kuingia kwa ugonjwa wa Ebola, JamiiForum yatajwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Afisa Afya Mkoa wa Kagera akanusha kuingia kwa ugonjwa wa Ebola, JamiiForum yatajwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ngalikivembu, Aug 4, 2012.

 1. Ngalikivembu

  Ngalikivembu JF-Expert Member

  #1
  Aug 4, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,900
  Likes Received: 341
  Trophy Points: 180
  Muhtasari wa habari wa saa 10 jioni hii TBC1 imemuhoji Afisa Afya Mkoa wa kagera juu ya kuingia kwa ugonjwa wa Ebola nchini hususani mkoani humo, amekanusha. Anasema taarifa hiyo haina ukweli. Ametaja kuwa JamiiForums ndio imeandika taarifa hiyo. Hii inatoka na taarifa aliyoandika tatanyengo mchana kuwa ugonjwa huo umeingia Kagera.

  Mimi ni mmoja wa walioona taarifa mpasuko ya ITV mchana, Mwandishi wake Cosmas Makongo alikuwa akiripoti taarifa ile leo. Na hata tatanyengo aliweka source kuwa ni ITV. Kwa hiyo huyu Afisa Afya alipaswa kuilaumu ITV kwanza kabla ya kuirukia JF.

  Aiombe radhi JF yetu. Tusubiri taarifa za jioni ITV tena maana walituahidi kutuletea taarifa zaidi.
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Aug 4, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,139
  Likes Received: 2,334
  Trophy Points: 280
  Changanya changanya!!
   
 3. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #3
  Aug 4, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 65,925
  Likes Received: 68,527
  Trophy Points: 280
  Mhhh! asije tena baada ya siku chache kutoa kauli kwamba ni kweli ugonjwa huo umeshaingia nchini na watu kadhaa wamepoteza maisha.
   
 4. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #4
  Aug 4, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 145
  Kumbe Afisa Afya wa mkoa wa Kagera naye anaisoma Jamiiforums!? Sasa ni wazi kwamba JF is rocking everywhere.

  Back to ebola; mganga mkuu wa wilaya amethibitisha kuwepo mgonjwa mmoja mwenye dalili zote za ebola. Na kwamba wanasubiria wataalamu wa afya toka mpakani ili kufanya uchunguzi wa kina.

  Je huyu afisa afya wa mkoa amefika karagwe kuthibitisha taarifa hiyo kabla ya kukimbilia kukanusha?

  Huu upuuzi wa kukimbilia kutoa taarifa za kukanusha kila jambo bila kufanya uchunguzi ama kupata taarifa za kina ndio zitasababisha watu wengi wapoteze maisha ikiwa ugonjwa umeingia ama utaingia huko kagera.
   
 5. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #5
  Aug 4, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  Mbona aliyetoa taarifa alisema kwamba imethibitishwa na mganga mkuu wa mkoa na akalitaja jina lake? Sasa msemaji ni mganga mkuu au afisa afya? Naomba mods wazichanganye post za kwanza za hizi thread ili tuone vzuri huu mkanganyiko!
   
 6. mndwadage

  mndwadage JF-Expert Member

  #6
  Aug 4, 2012
  Joined: Jul 15, 2012
  Messages: 345
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huyu afisa afya mkoa inaonekana alikua bize jf jukwaa la siasa akasahau kuangalia source ya habari husika.!
   
 7. S

  Sessy Senior Member

  #7
  Aug 4, 2012
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 118
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mficha maradhi mauti humuumbua
   
 8. ITEGAMATWI

  ITEGAMATWI JF-Expert Member

  #8
  Aug 4, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 4,153
  Likes Received: 985
  Trophy Points: 280
  Mbona mnatuchanganya sasa jamani,Which is which?
   
 9. Blessed

  Blessed JF-Expert Member

  #9
  Aug 4, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 2,477
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  tatizo ni kuleta propaganda ktk mambo yanayohusisha uhai wa watu kama haya,napata feedback kwamba mganga wa mfawidhi wa hospitali ya Nyakahanga kalongelea hilo kuhusu huyo,kwa hiyo si sahihi sana kukanusha mpaka uchunguz zaid ukshafanyika,wakati wa msimu wa kahawa kama huu movement za to and from Uganda ni nyingi!
   
 10. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #10
  Aug 4, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  Yes, which is which!
   
 11. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #11
  Aug 4, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,274
  Likes Received: 360
  Trophy Points: 180
  Huyu afisa anatoa majibu ya KICCM
  Ipo siku utakuja omba rdhi watu wakianza kufa
   
 12. hendeboy

  hendeboy JF-Expert Member

  #12
  Aug 4, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  tusikimbilie kukanusha kabla ya kufanya uchunguzi
   
 13. ITEGAMATWI

  ITEGAMATWI JF-Expert Member

  #13
  Aug 4, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 4,153
  Likes Received: 985
  Trophy Points: 280

  ???????????????
   
 14. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #14
  Aug 4, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Huyo Afisa Afya amevimbiwa senene........habari imetangazwa ITV as breaknews yeye amekariri JF! Yeye ni Mushaija muraru!
   
 15. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #15
  Aug 4, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,234
  Likes Received: 4,604
  Trophy Points: 280
  Bora JF inaisaidia serikali katika utendaji wake wa kila siku.
   
 16. Bitabo

  Bitabo JF-Expert Member

  #16
  Aug 4, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 1,896
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Mkuu leo umeongea bonge la point. nimekupa 'LIKE 10''

  Huyu afisa afya anataka kuwapa MOD kazi ya kutupiga ban baada ya kumtukana.
  Siku hizi kila habari ikitoka source ni JF. Inabidi serikali iiunge mkono JF kwa kuweka matangazo yake ya sensa na tume ya maoni ya katiba. itasaidia kuongeza mapato ya JF ili iendelee kuisaidia serikali kuwaamsha maafisa uchwara wasiojua majukum yao mpaka JF iwaamshe
   
 17. HASSAN SHEN

  HASSAN SHEN JF-Expert Member

  #17
  Aug 4, 2012
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 428
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Duuh nina safari ya Uganda this month,bado nasikilizia hali inaendeleaje huko kabla sijai cancel.
   
 18. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #18
  Aug 4, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  Hivi afisa afya who is this, anajua hata kufanya diagnosis, na ndiyo maana hana taarifa coz hajui hata what is ebola, kumekuwa na outbreak za measles kibao tunawapa taarifa ili watoe health education lakini nothing they are doing. Poor them acheni kubishana naye kama mganga mkuu kaona then this guy is nothing
   
 19. N

  Nyakwaratony JF-Expert Member

  #19
  Aug 4, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 575
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  hata me nimesikia hlo kanusho tbc, serikaki imekanusha taarifa hiyo!
   
 20. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #20
  Aug 4, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 65,925
  Likes Received: 68,527
  Trophy Points: 280
  Ebola patient allegedly diagnosed in Kagera

  By Emmanuel Onyango
  4th August 2012

  As the government tries to take measures to prevent the deadly disease of Ebola from spreading into the country, one patient has been discovered to have been infected with the viruses at Nyakage hospital in Karagwe district, Kagera region.

  According to one doctor from the hospital who declined to be named because he is not the authorised spokesperson, doctors at the hospital discovered a patient whose name was not immediately established with all signs of the disease when he went there for treatment on Friday.

  The doctor further noted that the patient had travelled from Uganda and had entered into the country via Mulongo border in the western part of Kagera region.

  Efforts to contact the Minister for Health and Social Welfare, Dr. Hussein Mwinyi for more clarification about the matter yesterday bore no fruit as he was not ready to speak about the issue, asking the reporter to call him later. However, when efforts were made to reach him about an hour later his phone was switched off.

  However, speaking in Parliament on Wednesday, Dr Mwinyi said the government had sent medical experts to the Tanzanian border with Uganda in a quest to contain its spread into the country. The disease is known to have killed 14 victims.

  Dr Mwinyi told visibly alarmed legislators that the medical experts who have been dispatched to the border were fully equipped with protective gear, medical supplies and other requisite equipment.

  They are also able to identify Ebola virus carriers. The minister advised the public, especially those living in the northern regions of Kagera, Mara, Mwanza and Kigoma, some of which share border crossings with Uganda.
  The World Health Organisation (WHO) has already alerted Tanzania on the Ebola threat. The ministry issued a statement to the press elaborating that Ebola was a highly contagious disease brought on by the Ebola virus.

  As an outbreak of ebola progresses, bodily fluids from diarrhea, vomiting, and bleeding represent a hazard. Due to lack of proper equipment and hygienic practices, large-scale epidemics occur mostly in poor, isolated areas without modern hospitals or well-educated medical staff.

  The Ebola virus was first associated with an outbreak of 318 cases of a hemorrhagic disease in Zaire. Of the 318 cases, 280 of them died-and died quickly. That same year, 1976, 284 people in Sudan also became infected with the virus and 156 died.
  The viruses that cause Ebola and Marburg are similar, infecting both monkeys and people. The outbreaks of these diseases are often self-contained, however, because they kill their hosts so quickly that they rapidly run out of people to infect.

  In Kampala, Uganda the residents have been urged to avoid contact after the deadly Ebola virus hit the city.
  Kampala residents have been urged to avoid contact after the deadly Ebola virus hit the city but security guard Joseph Karuba's job is to frisk people and he doesn't have gloves.
  "The thing has come back -- it came first time and we beat it, then it came again and we beat it and now it is back," he said, waiting for shoppers outside one of the teeming capital's malls.

  President Yoweri Museveni on Monday confirmed that Ebola, one of the world's most virulent diseases, had reached Kampala for the first time following an outbreak in the west of the country.
  "We shall request gloves, but for now it is a very big problem because we are exposed," Karuba said.
  Officials were searching for anyone who might have come into contact with the virus, amid public warnings for people to take precautions and avoid physical contact..

  SOURCE: THE GUARDIAN
   
Loading...