Afghanstan: Zaidi ya Watu 40 wafariki dunia, 60 wajeruhiwa katika mlipuko wa bomu

Influenza

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,445
3,403
Mlipuko huo umetokea katika ukumbi wa mkutano kwenye mji mkuu wa nchi hiyo, Kabul wakati watu walipokusanyika kusheherekea sikukuu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad

Haijaeleweka bado waliohusika na shambulio hilo ila Makundi ya wapiganaji wa Taliban na Dola ya Kiislamu wameshafanya mashambulio kadhaa nchini humo

Msemaji wa Serikali amesema taarifa zinasema ni bomu la kujitoa muhanga na kwenye ukumbi kulikuwa na Watu takribani 1000 wakati wa mlipuko

Mwezi Agosti Dola ya Kiislamu ilisema imehusika katika mashambulizi mawili yaliyosababisha mauaji ya Watu kadhaa nchini humo
======

Afghan officials say a suicide bomber has targeted a gathering of Muslim religious scholars in Kabul, killing at least 40 people.

Public Health Ministry spokesman Wahid Majroh says another 60 people were wounded in the attack, which took place as Muslims around the world marked the birthday of the Prophet Mohammad.

Interior Ministry spokesman Najib Danish says hundreds of scholars and clerics had gathered to mark the occasion in a large wedding hall in the capital.

No one immediately claimed responsibility for the attack, but both the Taliban and a local Islamic State affiliate have targeted religious scholars aligned with the government in the past
 
Hawa nao mafala kweli yaani,sa wanaua hadi waislamu wenzao,nkajua wanawalenga wagalatia pekee ao!
 
Back
Top Bottom