Afghanistan: Marekani yamuua aliyepanga shambulizi katika Uwanja wa Kabul

Baada ya 31 August 2021 basi mpambano utakuwa ISIS-K na Taliban..

Na inaonesha ni mapema sana Serikali ya Marekani itaitambua rasmi Serikali itayoundwa na Taliban..

Vita kule haitokuja kukoma kabisa..

Ila nimeshangaa jambo moja Kabul ni pazuri kuzidi Dar es Salaam..
 
Zaidi ni waislamu wenye imani kali kwa kile kinachoitwa "The Global Jihad" na wanalenga kufanya kila mmoja duniani awe muislamu kwa nguvu na pia wanadai ndivyo alivyoamuru mtume wao katika kitabu chao kinachoitwa Korani.
Hao akili zao mbovu tu hakuna sehemu kwenye qur an inayotaka watu walazimishwe kuwa waislam na wala hakuna jihad ya kulazimisha watu kuwa waislam,hila jihad inakuja iwapo mnazuiwa kufanya ibada zenu huyo mtume muhammad alikuwa na ndugu zake ambao hawakufuata imani yake mbona yy hakuwaua au kuwatenga.
 
Siku zote nawaambiaga vijana wa kiislam, hii dunia ipo hivi kwa ajili ustaarabu wa wakristo. kama wakristo wangeamua kumpigania Yesu wao dunia isingetosha
Hamna ubavu kumpigani yesu kipindi tu anasulubiwa mpk anakufa watu wake wote walimkimbia hila hakuna muislam aliyekimbia kipindi mtume Muhammad anataka kuuawa na maadui zake walimtetea mpk tone la mwisho la damu watu walipoteza maisha kwa ajili yake hila wafuasi wa yesu walitoka ndukiiiiiiiii wacha ale mikwaju.
 
US kaishiwa mbinu
sasa anacheza michezo ya KITOTO
kwa hiyo now ataunga muungano na TALIBAN kuwapiga magaidi wa IS ama !!

huku TALIBAN anataka ikifika SEPTEMBER
majeshi ya kigeni yasepe ha ha ha
ngoja tuone hii SERIEZ itakuwa na EPISODE ngapi
Us na taleban Wana makubalian
ISIS anachodai wamerekan walikubali kuwaachia utawala taleban kwa makubaliano ambayo hayakuishirikisha serikali ya Afghanistan
 
Lakini si kuna maandiko ktk Kurani yanasema alisema kabisa kwamba waislamu waje wawaue wote wanaokataa "Dini ya Mnya'azi Mungu".
 
Siku zote nawaambiaga vijana wa kiislam, hii dunia ipo hivi kwa ajili ustaarabu wa wakristo. kama wakristo wangeamua kumpigania Yesu wao dunia isingetosha
Kwa bahati mbaya Yesu hakusema apiganiwe yeye wala Mungu bali tumwamini kwamba yeye ndiye njia kisha tumuachie kazi iliyobaki atamalizia.
 
Jeshi la USA nyoronyoro sana
Jeshi la Marekani linathamini sana raia katika kila Vita inazopigana, Na hii imekuwa imawakosti sana, kwani mahasimu wao kwa kutumia udhaifu huu wamekuwa wakipiga na kujificha katikati ya raia jambo ambalo linawasababishiaga maafa makubwa.
 
Tatizo Mashoga wa Kinyamwezi hamtaki kukubali kuwa muda ushawaacha mkono
 
Zaidi ni waislamu wenye imani kali kwa kile kinachoitwa "The Global Jihad" na wanalenga kufanya kila mmoja duniani awe muislamu kwa nguvu na pia wanadai ndivyo alivyoamuru mtume wao katika kitabu chao kinachoitwa Korani.
Lengo lao siyo kumfanya kila mtu awe Muislam. Uislam umekuwepo miaka dahari na hata siku moja haukuwalazimisha wasiokuwa waislam wasilimu. Chimbuko la ISIS ni Wamarekani wenyewe na wanajua waliliunda hilo kundi kwa malengo gani.
 
Sio kweli na hili tumeshalikataa humu mara kadhaa. Marekani anahusikaje na kuweza eti kuwashawishi waislamu waunde kundi la kigaidi wakati tena hao hao Wamarekani ndio wahanga wake wakubwa.

Marekani kama anaunda kundi la kigaidi kwa nini asiwatumie wakristo? Na kwa nini hao waislamu wakubali kutumiwa na "Makafiri" kuchafua dini ya mwenyezi Mungu??????

Sijawahi kuona popote pale duniani gaidi yeyote aliyekamatwa akasema eti ametumwa na Marekani, wote wanasema wanampigania mungu wao anayeitwa Allah ambaye hata hao wamarekani hawamtambui.

Mnapoandika humu muwe mnaacha kuleta propaganda za kijinga mkifikiri mnaweza mkapotosha watu ili muendeleze ajenda zenu ovu. Not at all.
 
Zaidi ni waislamu wenye imani kali kwa kile kinachoitwa "The Global Jihad" na wanalenga kufanya kila mmoja duniani awe muislamu kwa nguvu na pia wanadai ndivyo alivyoamuru mtume wao katika kitabu chao kinachoitwa Korani.

unaropoka kama shoga. aya gani kwenye Quuraan imesema watu wote wawe waislamu kwa nguvu wewe ndie unaeitwa kapumbu.unajua wakati wa mtume enzi zake alikuwa akiishi na wanasara na mayahudi mbona hakuwalazimisha kuwa waislamu
 
Sio kweli na hili tumeshalikataa humu mara kadhaa. Marekani anahusikaje na kuweza eti kuwashawishi waislamu waunde kundi la kigaidi wakati tena hao hao Wamarekani ndio wahanga wake wakubwa.

Marekani kama anaunda kundi la kigaidi kwa nini asiwatumie wakristo? Na kwa nini hao waislamu wakubali kutumiwa na "Makafiri" kuchafua dini ya mwenyezi Mungu??????

Sijawahi kuona popote pale duniani gaidi yeyote aliyekamatwa akasema eti ametumwa na Marekani, wote wanasema wanampigania mungu wao anayeitwa Allah ambaye hata hao wamarekani hawamtambui.

Mnapoandika humu muwe mnaacha kuleta propaganda za kijinga mkifikiri mnaweza mkapotosha watu ili muendeleze ajenda zenu ovu. Not at all.

Huelewi siasa za kimataifa zinavyokwenda kwahiyo siyo kosa lako. Hivi huelewi hata Osama bin Laden alifadhiliwa na Wamarekani ili apigane na Mujahiddin wengine kule Afghanistan ili wamtoe Mrusi? Hujui kuwa makundi ya wapiganaji Afghanistan yalikuwa yanafadhiliwa na Marekani ili kumuondoa Mrusi Afghanistan? Ni wewe peke yako usiyejua kuwa ISIS au ISIL ilianzishwa na Marekani ili kupambana na majeshi ya Assad kule Syria na kuweka serikali ya kibaraka itakayokuwa rafiki kwa Marekani.
 
Kwa hiyo wakati Osama anatuma magaidi kufanya ugaidi New York na Washington Marekani ndio walimtuma.!

Hujui kwamba wakati vita vya Syria vinaanza tayari Isis ilikuwepo. Kwa nini basi waislamu wakubali kutumiwa na Makafiri kufanya vitendo ambavyo ni "kinyume" na mafundisho ya dini yao? Kwa nini wasiwaambie wamarekani wawatumie wakristo?

Think deep my friend, you will lie low.
 
Zaidi ni waislamu wenye imani kali kwa kile kinachoitwa "The Global Jihad" na wanalenga kufanya kila mmoja duniani awe muislamu kwa nguvu na pia wanadai ndivyo alivyoamuru mtume wao katika kitabu chao kinachoitwa Korani.
Inashauriwa kufikiri kwanza kabala ya kutenda, vinginevyo utajikuta unajipambanua ni kiasi gani ulivyo MJINGA kuliko ujinga wenyewe....
 
Back
Top Bottom